EID MUBARAQ
Ndugu zangu ninaumwa na hospital nishaenda mara mbili na dawa natumia ila nafuu hakuna.So nimeona nije na kwenu labda kuna mtaalam huku akanipa neno/ushauri wakuniponya
Nilifanya vipimo nikaonekana na
*excesive bowel gas,
*PID
*Polycystic ovarian syndrome.
NB:3 yrs ago mgongo ulisumbua kufanya Xray ikaonekana kuna shida kwa pingili.Nikapata dawa ila nikashauriwa kufanya mazoez ya mgongo,jinsi ya kulala/kukaa na kubadili kitanda.Mgongo ukapona kabisa.
Sasa miez miwili iliyopita nikaanza tena kusikia maumivu ya mgongo sambamba ganzi nyayoni/viganjani.
Sukari iko kawaida.
Sina kisukari.
Sina HIV.
Ninatumia dawa mwezi sasa sioni nafuu.Napata homa,sina hamu ya chakula.Nikitembea najihisj sina nguvu/balance.
Mwili umekua sensitive kwa maumivu.Kitu kikinigusa tu kidogo nasikia maumivuu.Vitu ambavyo nilikua nikifanya sisikii maumivu sasa hv nasikia maumivu.Mfano kufungua dirisha,au kujigonga ambako zaman kusingeniuma sasa hv inauma utadhan nimejigonga kwa nguvu.
Maandishi yanatokea double double/blur.
Sometimes I feel like my body is shutting down na nikiwafikiria watoto wangu wadogo....😭😭
Madokta wa JF nawaomba sana u
shauri au neno lolote linaloweza kusaidia.
DAWA NILIZOANDIKIWA.
- NAT B
-PREGASAFE 75
-METFORMIN
-PROXICAM CAP.
-AMOXICILLIN CLAVULANATE TrYDRATE POTASIUM