Msaada MESTEROLONE 25mg

saidhafidh

Senior Member
Apr 10, 2013
119
7
Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan nimezitafuta sana cjazipata
Msaada wapendwa

00B254F5-A458-4046-BEEE-6C46816367DF.jpeg

5691C7F7-77BC-497A-AD92-99FA71B86FD4.jpeg
 
Nenda kiete pharmacy Mwenge
Au Faru kitu kama hivyo jina ipo manzese
Unaweza kupata
Asant
Vip nawez kupata contact ili niwasiliane nao au tunafanyaje ili tupateuhakika km dawa ipo maan mm nakaa mikoan ili nikija dar niwe nanuhakika km dawa ipo na bei niijue
 
Asant
Vip nawez kupata contact ili niwasiliane nao au tunafanyaje ili tupateuhakika km dawa ipo maan mm nakaa mikoan ili nikija dar niwe nanuhakika km dawa ipo na bei niijue
Hata sina sema najua hizi pharmacy ni kubwa
Ebu jaribu kugoogle unaweza kufanikiwa kupata no zao
 
Hata sina sema najua hizi pharmacy ni kubwa
Ebu jaribu kugoogle unaweza kufanikiwa kupata no zao
Ok poa asant nitaingia google ila naomba msaadawako uniulizie huko dar ukipat duka linalouzwa niambia ninashida naz sanaaa
 
MImi shida yangu hio daw . Sina tatizo la kutosimamisha nasimamish km kawaid
Pole sana. Naikumbuka hi dhahma.

Nilipata Lifeline Pharmacy pale Muhimbili.
Leo naenda kununua dawa za mtoto kwenye wholesale Pharmacy K/koo kama hutojali tuwasiliane 0745090905 nitakuchekia.
 
Cjakuelewa ndugu
Mm shida yangu ni hio dawa wap nitaipata km ww unawez kundaidia ntashkuru sana
Si umesema haupo Dar so hauwezi kwenda Nakiete au Faru? Ndiyo nimeuliza kwahiyo nikienda kuulizia wakisema kama ipo ndiyo utakuja Dar kununua?
 
Ukiikuta ipo utaniambia hilo duk ulioikuta tutawasilian tutajua cha kufanya kitu kikubwa ni kupata duka linalouza hio dawa tu mambo mengine vip itanifikia tutayajenga tu
Si umesema haupo Dar so hauwezi kwenda Nakiete au Faru? Ndiyo nimeuliza kwahiyo nikienda kuulizia wakisema kama ipo ndiyo utakuja Dar kunu
 
Mtoa mada nenda pale Amanda phamarcy K/Koo utazipata ukishindwa nenda posta mpya kuna Pharmacy kubwa ya wahindi jina limenitoka utapata.
 
Pole sana. Naikumbuka hi dhahma.

Nilipata Lifeline Pharmacy pale Muhimbili.
Leo naenda kununua dawa za mtoto kwenye wholesale Pharmacy K/koo kama hutojali tuwasiliane 0745090905 nitakuchekia.
Ni kweli ina ponya tatizo la nguvu? Na je, haina side effects za muda mrefu kama figo, ini na mwishowe Cancer?

How come sijaisikia ikitajwa sana hii kama zilivo Viagra na jamii zake?
 
Back
Top Bottom