Msaada meli ya mv Victoria

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jmn msaada kwa anefaham ratba ya mv victoria ya mwanza i mean cku gan na mda gan? Husafiri.?
 
Jmn msaada kwa anefaham ratba ya mv victoria ya mwanza i mean cku gan na mda gan? Husafiri.?

1.J3,J5 na Ijumaa inakuwa inatoka Bukoba kwenda Mwanza
2.J2,J4 na Alhamis inakuwa inatoka Mwanza kwenda Bukoba

Muda wa kuondoka ni saa nne usiku.Muda wa kuingia nikuanzaia saa moja usiku.

SAFARI NJEMA
 
Back
Top Bottom