Msaada: Mawasiliano na Azam Tv

Canula

Member
Mar 17, 2017
44
63
Wakuu mwenye namba za simu za Azam Tv nimelipia toka Jana saa tano asubuhi mpaka mida hii sipati chanel.

Kibaya zaidi wameniachia TBC tu ambayo sina cha kuwaangalia hawa jamaa.

Kwenye namba za simu tofauti na 0784108000 anipe au njia yeyote ya kuwasiliana nao maana hizo kama hazipo hewani.
 
Bonyeza *150*50*5# ok utapata maelekezo na namba zao utapata humo
 
Kama uko nao Facebook wacheki kupitia messenger watakujibu faster ila kumbuka unapoweka kifurushi mfano cha buku 7000 au 5000 king'amuzi kiwe on
 
wakuu kuna chanel ya AFRICA MOVIE CHANEL hakioneshi kwenye kifurushi cha 23,000 kimehamia wapi wakuu mwenye idea animbie plz
 
Back
Top Bottom