Kinyozi_tz
Member
- May 23, 2020
- 13
- 24
Msaa nina mdogo wangu amabaye kwa muda sasa anasumbuliwa na maumivu kifuani na maumivu haya huja maraa baada ya kufanya mazoezi au muda mwingine huibuka tu.Tulijaribu kwenda hospitali moja alifanyiwa vipimo vya Moyo ikaonekana hana shida.Vipimo vivyo angaliwa ni ECG,bp pamoja na kiwango cha mafuta kwenye dam yaani blood choresteral majibu yote ni negative.Naombeni ushauri nikifanyike mana tunaona linaweza kuwa tatizo kubwa mbeleni