Msaada matatizo ya Samsung S23 ultra

CORONAZ

Senior Member
Apr 26, 2020
181
337
Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.

Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.

Shida inazonipa ni hizi.

1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.

2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.

3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory

4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.

5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk

Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
 
iyo ni feki mzee , inaukubwa hewa, Haina ukubwa huo wa 512GB, umepigwa na kitu kizito, hao mafundi wameogopa kukwambia ukweli kuwa umepigwa na nyundo ya The big Jack Horner , ukiweka memory kadi utaona inafanya kazi fresh, mana Kuna jamaa yangu nae ashawahi kutana na mkasa kama huo , well come to Tecno world.
 
Angalia kama ni original au refub Kisha upeleke Samsung center
 
Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya updatita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.
2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.
3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory
4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.
5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk

Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
Nenda about phone then reset all accessibility setting reset data setting then network setting...inaeza ikasaidia sijase ukarestore factory no reset only...
 
iyo ni feki mzee , inaukubwa hewa, Haina ukubwa huo wa 512GB, umepigwa na kitu kizito, hao mafundi wameogopa kukwambia ukweli kuwa umepigwa na nyundo ya The big Jack Horner , ukiweka memory kadi utaona inafanya kazi fresh, mana Kuna jamaa yangu nae ashawahi kutana na mkasa kama huo , well come to Tecno world.

Kuepuka hili swala ni kwenda Maduka ya sumsung yaliyosajiliwa tu na sio hawa wahuni
 
Kweli sasa hivi simu nyingi ambazo ni refurbrished zimechakachuliwa Memory, siku ya Storage Gb 64 na Ram Gb 2 inawekewa File la Gb 128. Kimbembe kipo ukiweka vitu vikifikia zile Gb 64 simu inakwambia imejaa ili hali wewe bado unaona simu ina free space kibao, solution ni ukiwa unanunua hizi simu ikague kwanza halafu download application ya CPU Z kwenye hiyo simu, hiyo itakuonyesha hali halisi ya hiyo simu kuanzia Model, storage na details kama resolution.
 
Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.

Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.

Shida inazonipa ni hizi.

1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.

2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.

3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory

4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.

5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk

Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
Mi nitatumia Samsung S23 na haina hizi shida sijaziona...

Cha kwanza umenunua Fake au umeuziwa zile wanazotangaza watu from Dubai...

Juzi kati kuna mtu alinifata anataka kuniuzia Boxing Iphone 14 Pro max Mpya kabisa Tsh 350k nikashtuka nikajua hii michezo ipo siku hizi sana..
Na ukifungua kwa haraka unaweza kuingia mkenge
 
pole kwa usumbufu unaupata kutokana na simu uliyonunua yawezekana ulinunua mpya lakini ni ukweli usio pingika kuwa umeuziwa simu feki mfano wa Samsung...

ushauri wangu tupende kununua vitu kwa mawakala walio thibitishwa nchi yetu ni shamba la vitu feki 🤣🤣🤣🤣

kwa aina ya simu yako unatakiwa uclear caches na cookies kwa kila program kila mara...sasa hayo ni mateso.

mfano program ya FACEBOOK yenyewe inakula space sio mchezo kwa kifupi hizi program za mitandao ya kijamii zote zinakula sana nafasi.

kilichotokea kwenye simu yako RAM na ROM zimechanganywa pamoja...ili uweze kuifaidi usiitumie kuifadhi video, audio wala file lolote la picha...kama ni picha ziwe mbili 3 tu. lasivyo utazidi kuichukia maana mwisho itaanza kuwa nzito sana. au itakuwa inagoma kubonyezeka kiyoo kina stack sehemu moja.

Similar Discussions

Back
Top Bottom