Joseph Cliff
Member
- May 31, 2016
- 28
- 6
Nina mpango wa kuanza kufuga kuku wa mayai. Na mipango yangu ni kuanza na vifaranga 250.. kwa ambao tayari wana mradi kama huu naomba kujua maelezo zaidi hasa kwenye
1) Bei ya hawa vifaranga 250
2) Bei na kiasi cha chakula kwa mwezi,wiki.
3) Ukubwa wa Banda na jinsi linavyotakiwa kujwengwa
4) Ratiba za dawa na bei ya hizo dawa
5)Ratiba ya kuwapa chakula
6)Aina ya chakula wanachotakiwa kula
7) Jumla ya pesa ambayo itanifanya niweze kuanza mradi huu.(kwa kukadiria)
Sehemu ya wazi ninayo na imezungushiwa fence yote nikujenga banda tuu na kuanza mradi. Nipo Dar-es-salaam
Nakama kuna vitu vingine zaidi ya hivyo pia naomba mnijuze ili mradi wangu aweze kwenda vizuri kama ninavyo tarajia. Ahsanteni