msaada kwenye tuta!!wandugu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
wapendwa niktumia comp yangu inafika wakati inaonyesha hiyo kitu mtanisaidiajeInternet Explorer cannot display the webpage

What you can try:


Diagnose Connection Problems

res://\\ieframe.dll/dnserror.htm##
More information


kingine inaandika low space disk(C) inatokaje hiii

ahsante kwa ushirikiano wako
 
Sina hakika kama kukataa kufungua page ina be associated na nini,labda uangalie connections zako kama ziko tight..then kuwa na low disc space inatokana na kujaza sana docs kwenye disc C kiasi processor inaelemewa..jaribu kusave baadhi ya nyaraka ktk drive D...over
 
Back
Top Bottom