Msaada kwenye tuta: Nampenda sana yeye anataka tuwe marafiki tu, nifanyeje?

Miaka miwili??? Big up bro! Ulishawahi kusikia watu wanaoitwa washika pembe?! Endelea kukomaa nazo tu. Huyo dada safi sana anakwambia ukweli wake kitu ambacho ni wachache wanafanya hivo.

au kwa jina lingine WASHIKA MKIA
 
Pole sana kaka hayo ndo maisha, nakushauri usimlazimishe kama kakwambia hana hisia na ww na mpo wote kwenye urafiki 2yrs bora uache make waweza endelea kumsumbua akakupa jibu ili akuridhishe ukaja pata shida hapo baadae na ukaanza kujuta

ni kweli kabisa. Ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Hivi wanaume mnapokuwa na hisia za mapenzi kwa mwanamke na yeye anataka muwe marafiki kwanini huwa ni ngumu kukubali? Bora lipi, kukubali urafiki au kuwa maadui?
 
Mpe wivu kidogo. Another mtoko panga fake girlfirend ajitokeze kwenye mtoko halafu mchangamkie vilivyo. Ikishindikana kuwa hajapenda chapa lapa.
 
Miaka miwili??? Big up bro! Ulishawahi kusikia watu wanaoitwa washika pembe?! Endelea kukomaa nazo tu. Huyo dada safi sana anakwambia ukweli wake kitu ambacho ni wachache wanafanya hivo.

tena hizo pembe ashike vizuri zisije zikamchoma..
 
hakuna hasara kama kupendwa na mtu ambaye umemweka kwenye kundi la rafiki afu haelewi.

Ni hasara kubwa sana!
Kama kakuambia wewe ni rafiki, potezea usonge mbele tu.
 
Back
Top Bottom