Msaada kwenye Ajira Portal

kondo7

New Member
Aug 30, 2019
3
2
Mimi nimesoma Diploma in accountancy lakini nianza kusoma kuanzia Cheti(certificate) mpaka Diploma Sasa kwenye hizi kazi za TRA nimeiweka na nimefanya certification ya transcript Moja tu yaaan ya DIPLOMA.

Ila sijaiweka ya cheti(certificate) kwasababu niliipoteza hiyo transcript.... Je inaweza kusumbua katika Ajira portal?

Msaada please!
 
Transcription si ukachukue tena chuoni
 
Screenshot_20220421-112339.png
 
Ndiyo. Tena inasumbua sana. It's better ukaitafute ujen uipakie tu maana hakuna namna nyingine.
 
Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
 
1.Ndugu yangu je ni lazima kuweka hio barua ajira portal ..
2.kama ni lazima unaweza nionyeshq mfano upoje au heading /title ya barua
 
Back
Top Bottom