Msaada kwa Taasisi au Benki inayokopesha wakulima wadogowadogo

misskijiji

Member
Feb 23, 2023
27
72
Wana wa Mungu Habari ya Asubuhi.

Katika kujikwamua na maisha, Dada yenu nimeendelea kupambana na Kilimo cha Mahindi na Nyanya hapa Ilula mkoani Iringa kwa kukodi mashamba kwa Bei rafiki.

Naomba kufahamishwa kwa anayejua Taasisi au Benki zinazotoa mikopo kwa wakulima wadogo wadogo kama mimi kwa kutegemea malipo baada ya mazao kukomaa na kuuza.

Asanteni na Mbarikiwe.

Asubuhi njema.
 
NMB,TIB,CRDB ila sharti uwe na malinisiyohamishika na uwe unakopa kufanya uendelezaji sio kuanza.
 
Kuna kipindi niliwahi sikia watu wanafuatilia Mikopo ya mfuko wa Self (SELF Microfinance)

IMG_20231011_084104.jpg
 
Wana wa Mungu Habari ya Asubuhi. Katika kujikwamua na maisha, Dada yenu nimeendelea kupambana na Kilimo cha Mahindi na Nyanya hapa Ilula mkoani Iringa kwa kukodi mashamba kwa Bei rafiki.

Naomba kufahamishwa kwa anayejua Taasisi au Benki zinazotoa mikopo kwa wakulima wadogo wadogo kama mimi kwa kutegemea malipo baada ya mazao kukomaa na kuuza. Asanteni na Mbarikiwe.

Asubuhi njema.
KUNA SHIRIKA LA KIKOREA LINAJIITA GOOD NEIGHBORS TANZANIA. HILI HALIKOPESHI WAKULIMA LAKINI LINATOA MISAADA YA PEMBEJEO KWA WAKULIMA KAMA MBOLEA, MBEGU, ZANA ZA KILIMO, UVUVI NK LAKINI SHARTI LAO NI UWAANDIKIE BARUA UKIELEZA KWAMBA WEWE MUOMBAJI NI MSHIRIKI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA (SHOGA). SASA WEWE KWA JINA LAKO MISSKIJIJI MAANA YAKE NI MDADA,SIJUI UTAWAANDIKIAJE HIYO BARUA?NAMBA YA MKUU WA HILO SHIRIKA NI 0785105550 ANAITWA SONI JUNG,MPIGIE AKUPE UFAFANUZI. HUKU KWETU UKEREWE TULIWAFUKUZA MAOFISA WA HILO SHIRIKA WALIPOKUJA KUTUELEZA HABARI HIZO MAANA TULIONA NI HABARI ZA KIPUUZI
 
Huko kwenye USHOGA hapana
 
Back
Top Bottom