Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 359
- 423
Hello, naomba tupeane ideas au maswali kuhusu hii kada, mliowahi kufanya interviews ya afisa habari hasa za utumishi mnaweza mkashare nasi kuhusu ili nasi tutusue.
Amiin,wajee jmnKila la heri mkuu,hope watakuja ambao wanao uzoefu kada husika,washee nawe.
Wow thank youKwanza ufahamu majukumu yako kiujumla, hatua za kuandaa press release na press conference, functions za afisa habari, crisis managements vingine endelea kumbuka vya darasani, vya pr