Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Nimeitiwa interview, wapo pwani kisarawe, naomba taarifa saidizi namna ama njia nyepesi ya kufika, mimi natokea Dar. Kama kuna mdau mwngine kaitwa pia ni vizuri tukifahamiana. Natanguliza shukurani!
 
Tindwa medical and health service au Tmhs makao yake makuu ni buzwagi street,masaki. Ina branch makurunge, madale, nyingine mwanza na Uganda.

Ni kampuni Moja mbaya sana kama una vision nzuri mana ina high rate ya turnover!. Ni ofis ya kufanya Kaz miezi 6 tu... Sio ofis nzuri kabisa .. mwenye hiyo ofisin aliwahi kuwa mwajiriwa ORCI miaka hiyo. Nimefanya Kaz hapo
 
Umenena vema,ni kakampuni kakihuni sana
 
Tindwa medical and health service au Tmhs makao yake makuu ni buzwagi street,masaki. Ina branch makurunge, madale, nyingine mwanza na Uganda.

Ni kampuni Moja mbaya sana kama una vision nzuri mana ina high rate ya turnover!. Ni ofis ya kufanya Kaz miezi 6 tu... Sio ofis nzuri kabisa .. mwenye hiyo ofisin aliwahi kuwa mwajiriwa ORCI miaka hiyo. Nimefanya Kaz hapo
Kuna changamoto gani pale mkuu, tupeane abc
 
Hivi hawa wanauhusiano wowote na waliokua AAR ?
 
Nenda karibu Bahati yako Mkuu. Huenda ukadumu zaidi ya Mwaka.

Ila sijaelewa kama kweli wamekuita Pwani au uende ofisi Zako pale Masaki.

Mimi nilienda kufanya interview pale mwaka Jana, pako local Sana sioni kama panafaa ila ni kuweza kumudu changamoto Tu.

Na wanaofanya interview ni vijana wadogo Tu, so usiwe na presha.
 
Kuna kale ka-HR Manager kakiume na mwenzake Adelina Mlowe vipuuzi sana,havina kitu kichwani,vingereza vyao ovyo basi shida tu,siku nimeenda pale nilivyoona tu yale mazingira nikamuuliza Mlinzi getini kama hawa wahuni wataweza kunilipa Mshahara. Ni kikampuni cha ovyo
 
Back
Top Bottom