Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:
1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba?
2) Inawezekana kipimo cha ultrasound kilichopimwa hospitali ya wilaya kizidishe umri wa mimba kwa wiki tatu na nusu juu ya muda ambao umepigwa mahesabu kutoka kwenye siku za hedhi? Maana nasikia ultrasound ipo sahihi hasa kama mimba haijafika miezi mitatu.
3) Pia inawezekana mimba kuonekana/kuhisi tumbo la uzazi limetuna chini ya kitovu (endapo ukigusa tumbo) kabla mimba haijafika miezi mitatu (wiki 12)?
4) Mwisho inawezekana mimba iliyotungwa ina siku moja kumletea mwanamke maumivu ya kiuno?
Ahsanteni.