Msaada kuhusu usaili

Jamaa moja alikuwa wa mwisho kufanya interview majira ya saa 1:00 jioni hapo amekaa toka saa 12:00 asubuhi, akabahatika kuwa mtu wa pili kuitwa kazini kwenye hilo kundi.
 
Kwenye Interview wale wa Mwisho huwa wanatusua kwa sababu kuu mbili au Tatu;
1. Panelist wanakua wameshachoka akili na hivyo umakini unakua umepungua sana. Usiombe uwe msailiwa wa 10 wa mwanzo utapigwa maswali halisi yaishe ukiweza unapigwa ya uzushi hadi uchakae.
2. Kwa interviewa zinazofanana maswali possibly kuanzia asbh hadi jioni lazima maswali yanakua yamewafikia kwa kiasi fulani lkn pia wao wanakuwa na muda mrefu wa kufanya memorization.
3. Panelist wanaweka sympathy kwa watu waliotoka usiku sana kwa jinsi walivyoonyesha uvumilivu kusubiri ngarambe.
 
Hii ina ukwel

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom