Msaada kuhusu masterbation

middo

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
207
56
Wakuu eti ni yapi madhara ya punyeto na nini tiba yake,nimejaribu kusearch sehemu mbalimbali ila mawazo yanakinzana wapo wanaodai inamadhara wengine wanadai haina madhara,upi ukweli wanajamvi?
 
Itakupelekea kusahau mademu na inapunguza gharama za gesti,vinywaji,vocha,na mizinga mingine kutoka kwa wadada!!!!
 
Wapiga punyeto wengi wanaishia kupata kansa ya kibofu cha mkojo. Lubricants wanazotumia wakati wa punyeto huwa zinaingia kupitia njia ya mkojo wakati wa kujichua na mtokeo ya unapata kansa ya kibofu. Acha kabisa hiyo tabia.
 
Wanawake wapo wengi na wanahitaji huduma yako. Kwanini upige punyeto.

Achana nayo.
 
Aisee karibu CHAWAPUTA (chama cha wapiga punyeto tanzania) na tena kesho tunakikao itabidi uhudhurie kwa maelezo zaidi nitaku pm
 
Wapiga punyeto wengi wanaishia kupata kansa ya kibofu cha mkojo. Lubricants wanazotumia wakati wa punyeto huwa zinaingia kupitia njia ya mkojo wakati wa kujichua na mtokeo ya unapata kansa ya kibofu. Acha kabisa hiyo tabia.

bush doctor ww
 
Acha kututisha
 
Wakuu eti ni yapi madhara ya punyeto na nini tiba yake,nimejaribu kusearch sehemu mbalimbali ila mawazo yanakinzana wapo wanaodai inamadhara wengine wanadai haina madhara,upi ukweli wanajamvi?

Usisahau kuvaa dawa ya penzi aka ...dom mkuu viganja vinaweza kuambuza kaswende au gono
 
kaka ww endelea tu haina madhara tena ukitaka usiwaze madem kabisa ifanye kama doze ya panadol 2x3
hapo ngoma utakuwa unaiskia tu halafu ww unapeta
 
sio isue, fanya once per month huwez bora utafute dem. cuz ukifanya frequently, just know too much of anything is harmful. ok
 
punyeto sio nzuri coz huwa inabadilika na kuwa addiction sasa hapo ndipo pabaya coz hakuna rehab yake.
 
Wapiga punyeto wengi wanaishia kupata kansa ya kibofu cha mkojo. Lubricants wanazotumia wakati wa punyeto huwa zinaingia kupitia njia ya mkojo wakati wa kujichua na mtokeo ya unapata kansa ya kibofu. Acha kabisa hiyo tabia.

sio kweli,
kwa mujibu wa madaktari wa ki romawanasema,"masturbation is neither harmful nor can harm parts of your body if applied slowly with enough lubrocant
"
 
Back
Top Bottom