Msaada kuhusu kilimo cha vitunguu Kilosa

Mkalapa

Senior Member
Aug 25, 2022
193
583
Heshima kwenu wanabodi, kama heading inavyojieleza nina malengo ya kwenda kulima vitunguu Kilosa mwaka huu ila sina mwenyewe was kunipa ABC za huko kuhusu hichi kilimo, ikiwemo wakati sahihi was kuanza kilimo, upatikanaji wa mashamba na gharama zake na vijana wasaidizi. Msaada wanabodi
 
Kilosa inawezekana ni kubwa kuliko Dar yote,...

Kuna maeneo mengi sana yanayofaa kulima kitunguu... Lumuma ni moja ya hayo maeneo unaweza kwenda kuanzia huko maana Kuna miundo mbinu ya kunwagilia, viatilifu, mbolea, nguvukazi, chanja na soko kwa ujumla...

tafadhali fika site utawakuta wakulima na wenyeji.. sisi Bado tunalimia kwenye kibodi.
 
kiongoz kama unataka kuilma wilaya ya kilosa bac lumuma ndo chaguo sahihi coz ardh yake ni potential tofaut na sehemu zngne kama kidete,mwasa , magulu au mzaganza vile vile kuna scheme nzur za umwagiliaj na kuna sehemu za kuhfadhia mazao kama soko l4takuw cyo nzuri kwa wakat huo hvyo bac ningekushauli uend lumuma coz ni mwenyej wa kule najua mazngira 8zur ingawa kwa sasa cpo kule ila kama utataka mawasilian na mtu aliekuwa kule nambie ntakupatia ili uanze kufanya mipango ya mashamb coz huu ndo muda mzuri wa kukod mashamb
 
Asante mkuu
 
Huko ni vitunguu tu ama pia

Back
Top Bottom