Msaada: Kuhusu hat trick

tovuti

Senior Member
Oct 29, 2009
160
11
Wana Jf nimekuwa nikisikia sana mchezaji fulani amefunga goli kwa hat trick...

Naomba kufahamishwa kufunga kwa hat trick ni goli la aina gani?..... na nini tofauti yake na offside trick?
 
Maana yake mfungaji amefunga mabao matatu au zaidi katika mechi husika na ni kawaida kuzawadiwa mpira uliyotumika kwenye mechi.
 
offside trick ni mtego wa kuotea unaochezwa na mabeki wa timu pinzani dhidi ya washambuliaji wa timu nyingne wakat hat-trick ni mabao matatu au zaidi yaliyofungwa na mchezaji mmoja ktk mechi moja
 
offside trick ni mtego wa kuotea unaochezwa na mabeki wa timu pinzani dhidi ya washambuliaji wa timu nyingne wakat hat-trick ni mabao matatu au zaidi yaliyofungwa na mchezaji mmoja ktk mechi moja

Offside trick huchezwa na washambuliaji kwa mmoja au wawili kuotea, halafu anayepokea pasi anakuwa hajaotea, anafunga mabeki wanabaki kunyoosha mikono.
 
Back
Top Bottom