msaada kozi nzuri kwa tuliosoma HGE of EGM

Kwani wakati unaenda kusoma hiyo EGM/HGE uliomba ushauri? kama sio, wakati unachagua comb hiyo ulilenga nini? kifupi timiza malengo yako na sio kulia lia hapa jukwaani.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

hako kamsemo hapo juu kanatumiwa na watu mbumbumbu
any way mim nimesoma HGE kwanza napenda nikutoe wasi wasi hakika ulifanya uchaguzi mzuri sana katika combination yako na kwa feature yako "economics do it with model" "economics drive the word" kwa motor hizo economics is evrthing in life economis una fit kokote nikianza kukushauri katika faculty nzuri za chuo kwanza zinategemea ufaulu wako lakin kwa uchache unawez soma Economics as economist then )comomics and Finance ,economics in Agriculture,Economics in islamic banking ,Economics and Statistics UDSM Economis in politics,Economics an Biulding Aridhi univer ,Economic as an arts or science kama utatizika ni PM
 
Back
Top Bottom