Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Mama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie
wadada wa .com ukiwaambia kuna dawa katika masuala haya na mengine huwa hawaelewi ila yakiwakuta kama haya wanakuwa wapole. Mwambie afanye huma hima anywe mzizi apate mimba
 
Mr atakuwa anatoa "mbegu hoho" yaani anategewa kwenye siku za hatari huku refarii akiwa anaaangalia saa yake mkononi lakini wapi hafungi mpira unapaaa juu ya mtambaa panya mithiri ya buleti la Joseph Kaniki!
sasa mkuu ndo unipe maufundi nimpekee jinsi ya kufunga hilo goli bila kusahau aina ya mazoezi anayotakiwa kufanya
 
sasa mkuu ndo unipe maufundi nimpekee jinsi ya kufunga hilo goli bila kusahau aina ya mazoezi anayotakiwa kufanya
Hapo naona kinachohitajika ni kitu kidogo tu nacho ni kunywa mzizi (kitaalam tunaita "NENGO") hakika ndani ya muda mfupi stori zitakuwa ni za kwenda clinic bila kujali tatozo ni la mke au mme. Mnapatikana mkoa gani nyie?
 
tupo dar mkuu
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kisha nenda hospitali mkapime, nawatakia heri
 
Mr atakuwa anatoa "mbegu hoho" yaani anategewa kwenye siku za hatari huku refarii akiwa anaaangalia saa yake mkononi lakini wapi hafungi mpira unapaaa juu ya mtambaa panya mithiri ya buleti la Joseph Kaniki!

Mkuu unamaanisha kwamba mwanaume wake amefungwa au??
 
Mimba Tam kwa kweli, binafsi wife aliniambia 'namimi nipe mimba' so huwa nakumbuka nacheka sana, wadada bila mtoto hujisikia vibaya sana, so nakuomba kamilisha vipimo ujue tatizo ni nini hasa na jamaa etu naye afanye check up! Na unaweza kuta nyie huwa hamkutani siku zenyewe au jamaa anafanya juu juu tu au mnapizi nje! Kwanza inabidi muwe makini pia kwenye vyakula mnavyokula sikila kiwacho kinarutuba kwenye miili yenu.
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.

samahani nimechelewa kuuona huu uzi, ila kwa sababu mimi nimepitia hii shida nimeona nikupe ushauri kidogo. Kwa maelezo yako kuwa unapata hedhi ni uthibitisho kuwa mayai unayo. Aliyetakiwa kupima wa kwanza ni Mwanaume. Kipimo cha mwanaume ni rahisi sana tena hakichukui muda umrefu, mwambie mmeo akapime sperm count (Uwingi wa mbegu kwenye manii yake) kama zitakutwa ok basi ndio waje kucheki mirija yako kama haijaziba kwa x-ray. nakuhakikishia hivyo vipimo viwili vikifanyika mwezi unaofuata unashika mimba. nimefanya mimi mwenyewe na kuwashauri jamaa zangu wawili nao wakapata mimba mwezi unaofuata. Tatizo naloliona ni kuwa wanaume wengi wabishi kwenda kupima, wanafikiri kwa kuwa wanatoa manii basi hawana shida, kiuhalisia hata ukiwauliza wataalamu wa afya ya uzazi, saa hizi tatizo la low sperm count ni kubwa sana hata wenyewe hawajui kwa nini ni kubwa hivi. Uzuri wake lina tiba ya asilimia 100.
 
mkuu mimi nilikaa miaka mitano ndiyo sasa mama kupata ujauzito una miezi 5 kikuu Muda haujafika mungu acha aitwe mungu utahangaika kwa hawa matapeli kwa kina mwaka utaliwa ela ila mungu kama hajapanga hajapanga tuu cha muhimu uvumilivu na kumwomba mungu mkuu usikate tamaa kabisa
kabisa Mungu ndo final say.Nakuunga mkono kwa ushuhuda huo unafanana na wangu bt me nilikaa 2.5 years.
 
nikionaga mada kama hizi huwa namcheka sana shetani. Nilikaa na mke wangu kwa miaka miwili bila mimba na vipimo vyote tulifanya kairuki pale mpaka cha mirija yuko ok lakini mimba hakina. Tukaanza maombi mi na wife tukagundua kumbe ni mapepo tu baada ya kukemea yakatoka mwezi huo huo mimba na amejifungua mtoto wa kiume.
Amini usiamini kama mkifanya vipimo vikaonyesha mko ok basi geukieni upande wa pili wa maombi mtatoka tu
hahahahah kabisa mkuu mimi sikuwahi hata kuwaza kwenda hospital na nilikaa muda kama wako na nusu hivi nilikomaa tu na maombi kama vile hakuna kitu kinanihusu siku ya siku hali ya hewa ilbadilika na leo nashuhudia.
 
samahani nimechelewa kuuona huu uzi, ila kwa sababu mimi nimepitia hii shida nimeona nikupe ushauri kidogo. Kwa maelezo yako kuwa unapata hedhi ni uthibitisho kuwa mayai unayo. Aliyetakiwa kupima wa kwanza ni Mwanaume. Kipimo cha mwanaume ni rahisi sana tena hakichukui muda umrefu, mwambie mmeo akapime sperm count (Uwingi wa mbegu kwenye manii yake) kama zitakutwa ok basi ndio waje kucheki mirija yako kama haijaziba kwa x-ray. nakuhakikishia hivyo vipimo viwili vikifanyika mwezi unaofuata unashika mimba. nimefanya mimi mwenyewe na kuwashauri jamaa zangu wawili nao wakapata mimba mwezi unaofuata. Tatizo naloliona ni kuwa wanaume wengi wabishi kwenda kupima, wanafikiri kwa kuwa wanatoa manii basi hawana shida, kiuhalisia hata ukiwauliza wataalamu wa afya ya uzazi, saa hizi tatizo la low sperm count ni kubwa sana hata wenyewe hawajui kwa nini ni kubwa hivi. Uzuri wake lina tiba ya asilimia 100.
Jee tiba ya hio low sperm acount ni IPI ya 100%
 
Nendeni wote Hospital, kuna jamaa yangu alikaa 9 years bila mtoto anajiona kidume, nikamshauri twende naye na mimi nitapima maana alikuwa Anaona Aibu akakutwa na shida. Alipewa dawa ya 15,000 na sasa ana watoto 4
Hiodawa ni dawa gani aliopewa inayouzwa 15000?
 
mkuu usijali ipo siku yako na wewe utabarikiwa. tumia mbegu za mlonge na majani yake yanasaidia sana katika matatizo ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke ukizikosa ulipo ni pm. pia tumia asali mbichi, mdalasini na kitunguu saumu na tangawizi kwa maelezo zaidi ni pm maelezo ni bureee kabisaaa
Mh mbegu za mlonge zinaharish kinyama sasa atatumiaje?
 
Mama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie
Huyo mama anatoa tiba kwa kina mama au na kina baba,? Maana tatizo wote wako poa. Na mm nazihitaj Namba za huyo mama mweny dawa
 
jamaa atakuwa haisimamii shoo vizur kuna pigo ukiwekwa miez miwili mingi lazima uanze kuvichukia baadhi ya vyakula
 
Nakuomba usichukue majibu ya pupa Bali nakuomba uchambue majibu dadangu, alfu jaribu mwende wote kwa dakitari WA maswala ya uzazi utasaidiwa na Kwa ufafanizi zaidi naweza kukupa namba msaada zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom