Msaada: JKT kwenda JWTZ

mama na baba

Member
Jan 5, 2015
33
1
Ukiwa na fani ya information technology (IT) unaweza pata nafasi ya JKT na baadae ukafanya usaili wa JWTZ baada ya kumaliza jkt msaada wadau wangu
 
sawa sawa vipi kwenye usaili kuna nafasi za wenye fani mbalimbali zinazotolewa?

Kuhusu fani ni mpaka baada umalize jkt, pale jkt wote kwa pamoja tutalima, kuchunga, uvuvi nk. So kafani kako katakaa pembeni kwanza mpk uhitumu jkt na upate nafac jw. Na ukifanikiwa kuchaguliwa jw na c lazima uchaguliwe, utapiga kwata kwanza pamoja na wenzako wote kisha baada ya kumaliza almost 6 months hapo ndo taaluma yako itafanya kazi.
Cha msingi ni kujikaza tu.
 
Back
Top Bottom