Naomba kujulishwa jinsi ya kudownload movie kwa simu

Kuwa na torrent sio mbaya. Ndo maana inapatikana playstore. Lakini kutumia torrent ku download movir ni illegal. Kama ni mtuaji mzuri utakuwa unajua hili. Kwasababu ata kwenye hizo website za torrentz wameandika kabisa kuw hii kitu ni illegal
yap yapo mafile ambayo si halali torrent, ila kama unadownload media ni ngumu kupata virusi.

pia torrent inakuwa na uploader maarufu mfano yify, ching liu, hon3y, rgmechanics nk ukidownload kwa uploader wanaoaminika unakuwa safe
 
Nime download show box lakini movie hazijii kwenye gallary ukizicheki kwenye file hazi play unaambia unsupo
 
Mkuu Hans pol shukrani nimedown load fresh ila nataka nihamishe kwenye pic hizi movie nafanyaje?

You mean unataka zitokee kwenye gallery sio.
Nenda kwenye file zipo movie wewe zi edit tu kule mwisho futa yale maneno ya mwishoni ibaki .mp4
Au kama ni kuzitengenezea Folder tengeneza tu folder mfano Movie
Then nenda kwenye file husika lemye movie zi mark kisha uzi cut then uje uzipaste kwenye folder ulilo creat.
 
I mean hapa kwenye sim yangu naziona hiyo app inanipa hadi option ya kuwatch lakini nikienda gallery sioni kitu kwenye downloads hakuna sijui zimejisave wapi
 
I mean hapa kwenye sim yangu naziona hiyo app inanipa hadi option ya kuwatch lakini nikienda gallery sioni kitu kwenye downloads hakuna sijui zimejisave wapi
Ingia kwenye file manager angalia kuna file limejitengeneza linaitwa show_box zipo humo movie unazo pakuwa. So wewe Rename tu yale majina mwishoni futa .thumb ibaki .mp4
 
Njia nyingine simple zaid ni kudownload app inaitwa popcorn kupitia Google ina kama MB 50 above kiukwel nimeikubal sana
 
Njia nyingine simple zaid ni kudownload app inaitwa popcorn kupitia Google ina kama MB 50 above kiukwel nimeikubal sana
Sawa hiyo App ipo vizuri lakini sasa movie zake zina mb nyingi sana huwezi kuta movie ina mb chini ya 500 nyingi ni abave hapo kwasababu resolution zake zinaanzia 720 sasa kwa bando zetu za kibongo nishidah bora show box resolution zake zinaanzia 360
 
Yaah ipo ya Pc, android, nk ingia kwenye hii link mkuu fuata maekekezo.
ShowBox for Android Download: ShowBox for PC Download
Show box inaweza nipatia hii movie ''agent 47'' naitafuta sna nimejarib ktk tubemate videoder na n.k napata trailer zake tu na sometimes naambulia patupu yaan nakuta imeandikwa fullmovie ukipakua unakuta si movie hyo kweli alaf unakuta ushapoteza mpka mb 500 so najikuta naboreka kweli msaada juu ya hilo mana naogopa kupakuwa isije ikawa ni yale yale!!
 
Kama ni agent 47 hitman ipo kwenye show box
 
Back
Top Bottom