Naomba kujulishwa jinsi ya kudownload movie kwa simu

Tumia utorrent app pakua google playstore then utafute app inaitwa kickass finder kwenye mobogiene
utaweza kupakua any movie
Mkuu hapo sijaelewa kipi ni kipi. Naomba ufafanuzi kidogo... Msaada tafadhari
 
Pakua Showbox hapa ShowBox App Download - APK for Android, iPhone, PC & More
Kitu kidogo cha kurekebisha baada ya kupakua movie ni ku edit jina ukipakuwa movie mfano: Close Range
Itakuwa hivi
Close-range-.mp4.temp
So wewe edit hilo jina kwa kufuta .temp ibaki close-rage.mp4
Then enjoy movie uliyo dawnload Kazi ni kwako.
Nilishajaribu sana hii ikawa inakataa,ila hii ya kwenye link yako inashuka bila shida thanks.
 
Mkuu hapo sijaelewa kipi ni kipi. Naomba ufafanuzi kidogo... Msaada tafadhari
Kickass finder inatafuta link ya movie na utorrent ina download so ukitaka ku download movie mfano "dope" unaitafuta kwenye kickass finder then ukiifungua ina link na utorrent na kuanza kuji pakua.
 
Mkuu funguka vizuri ( ukiifungua ina link na kuanza kuji pakua ) duuuh ikifunguka then kuna alama mbali mbali zitaonekana mbele ili aweze ku dawnload hiyo movie anatakiwa abonyeze alama ya sumaku imekaa kama U inayoangalia chini hapo ndio ita detect kwenye file moja wapo kati ya utorrent, bittorrent au hiyo drop kama unayo nakuanza kuji dawnload.
 
Keep in your mind. Using torrent, bit torrent, u torreny, vuze is illegal. So ushauri unaoupata hapa do it for your own risk. Ukikutana na mivirusi usije kulia hapa
 
si kweli torrent ni halali na kama haufahamu microsoft sasa hivi anatoa updates kupitia p2p network kama torrent. pia kuna distro kibao za linux zipo torrent tu na os kama remix os (android) ya jide ipo torrent.
 
Sure kaka, sisi tuna toa ushauri tu lkn chakuzingatia sana sana kupakuwa file mbali mbali ktk net huwa ni risk tu.
 
Kuwa na torrent sio mbaya. Ndo maana inapatikana playstore. Lakini kutumia torrent ku download movir ni illegal. Kama ni mtuaji mzuri utakuwa unajua hili. Kwasababu ata kwenye hizo website za torrentz wameandika kabisa kuw hii kitu ni illegal
 
Sure kaka, sisi tuna toa ushauri tu lkn chakuzingatia sana sana kupakuwa file mbali mbali ktk net huwa ni risk tu.
Kutumia torrent unaweza pakua virusi hadi toka dunia nzima. Kwasababu pale mnashare file. Kama mmoja wenu ni victim. Kimeo kinawadondokea wote
 
Back
Top Bottom