Msaada jamani sijamwelewa wife leo!!

hebu mipemo kalinki msiri wangu mwaJ jamani.......wapi apo nikapaone, manake juzi ilikuwa lindo zamu yangu (sijui niache jeshi?)

Jeshi usiache msiri wangu Kaizer labda kama ile biashara yetu imeshakubali sawasawa. Si unajua tena maisha yanaweza kuwa magumu ukizingatia una wake 2 (AshaDii na gfsonwin ambao ni rasmi ninao watambua) wa kuwatunza na wote matunzo yao si ya kitoto. Ila uwe unakumbuka kuitika unapoitwa hata kama uko lindo.

Haya link uloitaka hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/373908-somo-kwa-kina-dada-2.html usidhani nilikuwa nadanganya.
 
Last edited by a moderator:
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa shangaa pale nikarudi sebuleni. Baada ya mida akiwa ametoka kuoga anavaa nikaibuka tena bedroom nikam-hug nimchumu. Suprise ya mwaka nikafeel shanga!!!! AMENYOA NA AMEVAA SHANGA??? Ambazo hajavaa nusu mwaka sasa, wakati anajua mi zinanipagawishaga. Na eti anaenda kufunga mzigo kariakoo!! Nimwambia tunaenda wote. Kaahirisha kwenda halafu kawa mpole. Hivi hapa tupo wote dukani, najiuliza ndio nini hii?? Nimuulize anamaanisha nini??

Aisee pole sana...mna watoto? ........kama mnao we wapende watoto wako tu usimfuatilie sana mwanamke, utakua kichaa kaka....kama vipi na wewe kanyoe mbele ununue boxer na vest mpya....vaa mbele yake.....mwambie unaenda china kabisa sio kariakooo..tetetete..ndoa raha kweli.
 
Umeshajua box lilikuwa linafungwa mjanja akafaidi umeharibu mipango ya watu... Kama mume ulitakiwa umsifie kavaa shanga, weka yeye kwa bed fungua box kamua mazawadi kisawasawa hatatoa tena nje... Ila kama ni tabia yake pole, natamani nimjue mkeo, mi nataka zawadi ya mwaka mpya.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kaka Chize, nikisoma respond zako nakumbuka mambo yako pale kwenye yale majengo nyuma ya vilima vya ESAMI, Haya mambo ya kizazi cha dot com. Usiombe yakukute, we yasikie kwa mtu.
 
Ha ha ha, hapa nikuongeza maumivu kwa jamaa, na ushauri zaidi amchunguze utakuta wajanja wameanza na kutumia mtandao wa bei raisi nchini (tiGO).
 
Duuuuh, pole sana bro..... Dalili ya mvua ni mawingu, nakushangaa mawingu unayaona harafu unadai hauelewi nn kinaendelea, unataka mpaka mvua ikunyeshee eeeh? Mkeo analiwa broooo......!
 
labda kwa kifupi wife hajafikia expectations zake leo asubuhi..!! kuna jamaa atakua anajituma zaidi huko vichakani..! pambana okoa ndoa..
 
Back
Top Bottom