Msaada inatuchanganya

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,972
6,966
Ndugu yangu amepanga nyumba anakaa na familia yake,mkataba ni wa mwaka na ameshakaa miezi minne mpaka sasa.sasa mwenye nyumba juzi kabandika tangazo getini,akitangaza kusudio la kubadili matumizi ya nyumba kutoka nyumba ya makazi kuwa nyumba ya biashara, na imetakiwa kama kuna mtu ana kikwazo awasiliane na manispaa ndani ya mwezi mmoja.Je mpangaji ambaye tayari ana mkataba (umebakiza miezi 8)hapo inamhusu vipi?naombeni ushauri wandugu,je anatakiwa aende akaweke pingamizi au ubadilishaji huo wa matumizi utaanza baada ya mkataba kwisha?
 
Katika knuni za utatuzi wa migogoro ya aina hii unatakiwa uanzie na stage ya muafaka (negotiation) yaani uanze na mwenye nyumba wako kwanza na uweke kumbukumbu zako vizuri..........kama unaweza kuscan hilo ytangazo na some clasuse za mkataba itakuwa vyema.....................maana ninavyofahamu mikataba mingi huwa null and void ab initio kwa sababu ya kutake advantage ya kutojua sheria!!!!!!!!!!
  • Mkataba wako unatambulika popote? (mamlaka za kisheria)
Tafadhali tuma tukusaidie.BUT kama ni kusudio you should be very smart na kumbuka kwamba mwenye amri ya kukuondoa hapo ni mahakama tu!!!

  1. Onana na mwenye nyumba wako na akupe intention ya hiyo notice na kama you are subjected to it ukishindwa ndio uende stage ya pili ............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom