Msaada: Dawa ya mwili ukivulia damu

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
884
375
wakuu za saa hizi

Nimejigonga usiku huu kwenye kigingi nje wakati naingia ndani na mguu umevilia damu na unaonekana mweusi na mwekundu baadhi ya sehemu


Nilikuwa naomba msaada wa dawa au tiba mbadala wakuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom