Msaada: Biashara ya kufanya Mwanza

kwa mwanza fungua duka la nafaka japo sijajua uko maeneo gan mkuu, ila kiukweli ni kwamba mwanza inawatu wengi sn kwa sasa na wengi hawajishughulishi na kilimo cha mazao ya vyakula, hivyo wengi wanategemea kununua vyakula.

pia kwa mwanza upatikanaji wa mazao ya nafaka ni rahisi kulingana na kwamba imezungukwa na jamii za wakulima, nafaka ni bidhaa ambayo haipitwi na wakati na haiharibiki haraka.
 
Hahahaha ahsante Mkuuu, si unajua life letu ilimradi usiadhirike tu
Umenifurahisha sanaa mkuu... Cha muhimu kuishi tuuh...
Kwa ushauri tafuta wateja wa mikoani kama dodoma.,moro na dar uwatumie samaki mbichi kwa bei ya jumla...
 
Kwa sasa sipo mwanza, ila nahisi kwenda kuanza life huko, Ahsante sana jembe, nategemea kufanya kama ulivyoniambia

Back
Top Bottom