naombeni mnasaidie kwa ili nilimalizA kidato cha 6 nikafeli nikajarbu kusoma uandish nikishndwa kumaliza kwa sababu ya ukosefu wa ada kwa sasa nahangaika mtaaani ila nna kipaji cha utangazaji bt nikiomba kaz certificate inagomba pia naweza fanya u mceee kwenye masherehe #ushauri plz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.