Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

Yeye hajataja chama

Unataka ataje kwa staili gani?aliposema hana nauli ya kuanza safari akamueleze mjomba dukuduku letu tulimchangia, kufika kwa mjomba katugeuka, kweli mnafiki hafichi asili, ama kweli penye udhia penyeza rupia.
 
Bunge siku hizi ni wasanii tu. Unakumbuka kiduku ya juzi? Hakuna la maana wanalojadili zaidi yavioja.
 
Mrisho.jpg

Msanii Mrisho Mpoto

Mrisho Mpoto asema atagombea ubunge jimbo la UBUNGO ila hakutaja chama gani.

Kwa maana hiyo hakubaliani na mbunge aliyepo kwenye kampeni utakuwa ni mwendo wa mashairi tu.
Mnyika kurudi Bungeni itakuwa kazi ya ZIADA kwake.

Najiuliza swali kwanini kila mtu analimezea mate jimbo la UBUNGO na kulitangazia nia?

(A) Mbunge aliyepo ni dhaifu sana hivyo kila mtu anaona anaweza kumshinda.

(B) Kuna rasilimali nyingi sana Ubungo hivyo kila mtu anazitolea macho.

(C) Matatizo ya wanaubungo hayakupata mtu sahihi wa kuyatatua hivyo wanaubungo wanatoa viashiria vya kumbadilisha mbunge ndio maana watu wanataka kutumia huo mwanya.

ataingia bungeni peku peku au?
 
Back
Top Bottom