Mrisho Gambo ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ntibenda atenguliwa

Status
Not open for further replies.
Natamani kuiona Tanzania ya watu wastaarabu,watu wanaothaminiana,watu wenye subira na watu wenye moyo wa kusikiliza na kutafakari Kwa kina.
Hakika naiona Tanzania iliyoikata HEKIMA na BUSARA ikakimbilia njia zao mbovu.

Naiona Tanzania itakayolia machozi na asiwepo hata mmoja wa kuifuta.

Ooooooh Tanzania yangu kwaheri ya kuonana.
Mkuu unategemea kupata Tz ya aina hii toka kwa mabondia kwenye majukwaa ya siasa?? Daaaah umeniacha hoi sana.
 
Safi sana. Sasa Lema akae mguu sawa
Kwani jimbo la Lema haliko wilaya ya Arusha alikokuwa mkuu wa wilaya huyo Gambo?

Mtateua na kutengua sana kupambana na Chadema Arusha. Nahisi mtateua hadi wachawi na wanga mwaka huu lakini bado hamtaambulia kitu.

Yaani kupambana na Lema au kukandamiza upinzani ndiyo achievement ya Tanzania ya Viwanda na Uchumi wa Kati?
 
Mkuu unategemea kupata Tz ya aina hii toka kwa mabondia kwenye majukwaa ya siasa?? Daaaah umeniacha hoi sana.
Mkuu nashindwa kuelewa hawa watu wamekumbwa na nini! Wasisi Wangu ni huenda Igweee anapenda kusikia maakida wake wakiamka na matamko kila siku,usipotoa tamko wewe hufai.
Tutafika kweli?
 
Utawala huu, ni vema kujifanyia kazi zako au kuajiriwa na NGO kuliko kupewa nafasi za kuteuliwa. One mistake unawekwa pembeni!!
 
Natamani kuiona Tanzania ya watu wastaarabu,watu wanaothaminiana,watu wenye subira na watu wenye moyo wa kusikiliza na kutafakari Kwa kina.
Hakika naiona Tanzania iliyoikata HEKIMA na BUSARA ikakimbilia njia zao mbovu.

Naiona Tanzania itakayolia machozi na asiwepo hata mmoja wa kuifuta.

Ooooooh Tanzania yangu kwaheri ya kuonana.
Ukiangalia kwa jicho la nne kama siyo la tatu unaona kabisa jinsi mfalme anavyowagawa watu, yaani hapendi utulivu, mshikamano, umoja wala ustaarabu.

Mpaka sasa naona jinsi tulivyo kikanda na kivyama na bado anaona ni ufahari kupandikiza chuki zaidi sasa kwa nchi hii si afya njema.
 
Iyo point chief
 
Safi sana. Sasa Lema akae mguu sawa
Lema ni Rais wa Arusha na Ntibenda alishafaulu kuwa mtawala Arusha kwa ushirikiano na kukubalika vizuri na wana wa Arusha.

Gumbo ana tamko la kutokushirikiana na wenyeviti wote wa Arusha. Atakuwa mkuu wa mkoa wa eneo moja hapa Arusha lenye diwani wa CCM. Kashindwa Tanga aje aweze Arusha utakuwa muujiza.

Fursa iliyopo ni kuthibitisha uDC, uRC na kukurupuka kwa JPM ni faida kwa upinzani na uhakika wa kuwa CCM hamnazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom