Mrema aomba ukurugenzi TPA

Haya ndio yanaitwa majungu; si kazi inashindaniwa? kama ana sifa mbovu atatolewa maana hao uliowataja hawana mamlaka yao binafsi ya kumchagua huyo bwana waka.

Agreed! Watu waache majungu. Kazi imetangazwa yeye ameomba. Watamajadili waone kama anasifa au la! Pamoja na kuwa na sifa, je hana scandal? Waachieni hao wafanya kazi yao. Mbona mnakaa mbele ya mkokoteni? You are not doing him and others justice.
 
Kila mtu ana haki ya kuomba nafasi hiyo kama anajiona amekidhi vigezo vlivyowekwa. Ni jukumu la wanaoajiri kumfanyia vetting na kujiridhisha kama vigezo vya kitaaluma na ki uadilifu amevikidhi.
 
Agreed! Watu waache majungu. Kazi imetangazwa yeye ameomba. Watamajadili waone kama anasifa au la! Pamoja na kuwa na sifa, je hana scandal? Waachieni hao wafanya kazi yao. Mbona mnakaa mbele ya mkokoteni? You are not doing him and others justice.

Ndugu Katiba ya Warioba itawazima hawa mdomo... weee ngoja tu.
 
Kuna mtu ana ID zaidi ya moja kwenye hii thread kazi yake kumtetea Mrema.
Ukisoma maandishi na utumiaji maneno unaweza kushtukia!
 
kpande kaimu mkurugenz mkuu TPA ni ndugu wa JK wa Damu mwakyembe alpoagzwa amtoe Tanroads/Ujenz ambebe bla qualfcation angekuwa naye si mwzi angejiuzulu mwakyembe naye jambaz 2
 
kpande kaimu mkurugenz mkuu TPA ni ndugu wa JK wa Damu mwakyembe alpoagzwa amtoe Tanroads/Ujenz ambebe kuwa MD TPA bla qualfcation kama mwakyembe angekuwa naye si mwzi angejiuzulu mwakyembe naye jambaz 2 apo TPA anaongoza riadha za bfu la mfadhli wake Mengi na adui mshndan wao Manji
 
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.[/QUOT:focus:
 
Mrema wa TANROADS anata kwenda TPA?

Nchi hii haishi vitimbwi No wonder Blandina Nyoni yuko TRA sasa hivi.

Naichukia CCM kwa kulea na kukumbatia MFUMO unalionda MAFISADI!
 
hahahaha ngoja akakutane na mzee wa ngada mzee mwakyembe alafu afanye madudu yake aone kama hajapewa 24 hours notice,chezea mzee wa ngada wewe.
 
Mrema hawezi kuwa Murugenzi wa TPA under watch ya Mwakyembe........
 
Mimi huwa sipendi stori za kutunga, kwani ni wapi walipoandika kwamba Mrema au Mtanzania yeyote mwenye sifa haruhusiwi kuomba nafasi ya UKURUGENZI TPA, bahati mbaya sikuona tangazo la post hiyo ninge apply. Hivi wenye mamlaka ya mwisho ya kutehua Mkurugenzi wa TPA ni AKINA NANI? Sasa kama Mrema amejipima akaona atupe ndoana yake i.e ajaribu bahati yake kwani tatizo liko wapi - kama ana some issues za ku-sort out, wanao mfanyisha usahili ndio wanajua jinsi ya ku-deal na vitu kama hivyo, sisi watu baki yanatuhusu NINI? Hii tabia iliyo jengeka siku za karibuni za kutaka kupre-empty au kushikiza Serikali kwa masuala ambayo hayatuhusu sijui inatokana na nini? mara Dk.Dau anataka kufanya hivi, mara Ridhiwani amejipanga kufanya vile, si hilo tu - tuhuma zinakwenda mbali kwa kuwagusa akina Marwa, Walwa - hata members wa Board hawakuwa spared nao ni Mamilo na Ulanga yaani tuhuma left, right and centre! Nilisha uliza humu siku za nyuma - hivi huyu Ridhiwani ana madaraka/mamlaka gani katika Taifa letu, lini alipewa Uwaziri usio na Wizara au ni Roving Balozi nini? Manake mambo mengine ukiyasikiliza utavunjika mbavu kwa vicheko - tamthilia zimezidi mno. Kwa nini atutaki kutulizana akili mpaka zoezi zima la kumchagua/appoint Mkurugenzi wa TPA litakapo kamilika, baada ya hapo kama kuna tatizo katika uteuzi si litajulikana tu, lakini watu wanakuja humu na wild madai/tuhuma, jumping guns wakiwa na madhumuni ya kuwakomoa au kuwaribia sifa binadamu wenzao. Mtu unabaki unajiuliza maswali mengi - je, haya madai/tuhuma yanatokana na an inside job ya baadhi ya wafanyakazi wa TPA walio apply post hii ambao wana ogopa ushindani, je madai/tuhuma hizi ni from without kwa wale walio leta maombi ya post ya Mkurugenzi wa TPA wanatafuta mbinu za kuwa-eliminated kiana watu wanao waona ni tishio kwao, baadhi yetu Watanzania tuna hila za ajabu sana.
 
Mkuu elewa kuwa "aisifiaye mvua....imemnyea" .....sio kila mtu anakurupuka na kutuhumu tu.....inaelekea uko mbali sana na mambo yanavyoendeshwa nchini na viongozi pamoja na familia zao.........kwa kifupi...kuna mabo mengi yakuudhi sana........

......can you imagine ACTING DG.....na wala sio DG......alivyoifanyia mambo Bodi iliyopita.......hebu fikiri ni jinsi gani Bodi mpya itakavyofanya kazi na yeye.......

Nyumbani kuna majungu sana.....na mabingwa wa majungu ndio wale "non-performers", mediocre and the like.....hawa wapiga majungu ndio wako kimbele mbele sana ku-mislead wakubwa ili kuficha MAPUNGUFU YAO.......just fuatilia hili suala la Kipande.....utakutana na harufu.......
 
KATIKA majina yaliyoomba ukurugenzi mkuu wa malaka ya bandari limo la Efraem Mrema aliyekuwa Mtendaji mkuu wa wakala wa barabara TANROADS, ambaye alilalamikiwa sana kwa ufisadi. Mrema ametia jina lake akitegemea ushindi mkuwa mkubwa kwani katika kambi yake yumo Ridhwani Jk na shemeji yake Albert Marwa,wamo pia wajumbe wa bodi ya TPA bwana Julias Mamilo na John Ulanga.

ni masikitiko makubwa sana hivi kweli nyie akina Ridhwan,Arbert Marwa,John Ulanga na Julius Mamilo mna uchungu na uhai wa bandari? yaani madudu yote aliyofanya Mrema pale TANROADS iliyopelekea kung'olewa na Magufuli mmeyasahau? hivi tamaa ya kushibisha matumbo yenu kwa biashara za magendo ya kontena yanawatia upofu na kusahau manufaa ya umma? Ridhwan na shemeji yako Albert Marwa mmethubutu kusafiri mpaka Japan kumfuata waziri Mwakyembe kwa faragha mkibembeleza jina la Mrema lipitishwe? tunawaambia wazi hii project yenu ya Mrema haikubaliki aslan!! Mwakyembe ni mtu safi anamjua vyema huyo Mrema wenu tangu yuko uchukuzi na yeye na Magufuli ndio walimsambaratisha Mrema baada ya kushindikana kwa muda mrefu.
Tupatie majina ya wote waliomba kazi hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom