Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

Na nafikiri wengi hawajawahi kufanya au kufanyiwa hivi ndio maana wanaona ni story nimetunga. I wish ingekuwa tu ni story.
Ndio maana nasema lilia bahati....wewe shukuru una hiyo bahati wenzio wanaishiwa kumegwa mbususu na kiwanja hawaoni sasa wewe unajengewa hadi nyumba.....karibuni utaletewa helkopta
 
Habari za humu wana JF, natumai wote mko njema.

Natambua baada ya kuleta uzi wangu huu

Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

Wewe ni muongo

Ulileta uzi wa mrejesho ukafutwa
Usitufanye sisi vichwa maji

Eti ubusy 😏
 
Ndio maana nasema lilia bahati....wewe shukuru una hiyo bahati wenzio wanaishiwa kumegwa mbususu na kiwanja hawaoni sasa wewe unajengewa hadi nyumba.....karibuni utaletewa helkopta

Mmmh!
 
Wewe ni muongo

Ulileta uzi wa mrejesho ukafutwa
Usitufanye sisi vichwa maji

Eti ubusy

Niliandika kwa kifupi sana as sikuwa na muda wa kutosha kuandika in details, na waliocoment walitaka details. Ndio maana nimeleta details. Mbona umeandika kwa hasira sana bibie? Kwema?
 
Niliandika kwa kifupi sana as sikuwa na muda wa kutosha kuandika in details, na waliocoment walitaka details. Ndio maana nimeleta details. Mbona umeandika kwa hasira sana bibie? Kwema?

Ungesema sasa ukweli kwamba ulileta mrejesho ukafutwa

Waliocoment walitaka details gani?
 
Back
Top Bottom