Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Mkuu ONTARIO nimekutumia PM , Tafadhali naomba ujitahid kuijibu maana ni muhimu sana .

Mwisho kabisa Mungu akubariki kwa kazi yako ya kurutubisha bongo zetu kwa elimu ya ujasiliamali na uchumi. The end will come to justify the commencement , wadau tusipoteze muda , wakati ni sasa kumbuka majuto mjukuu, kanyaga twende mkuu ONTARIO
 
Alishasema yeye Kujibu PM ngumu anapokea nyingi kupita maelezo
 
Mkoani tayari mbona au mkoa upi,wameshaaenda Kanda ya Ziwa Mwanza na leo Wanamalizia Arusha.Watarudi Dar next week training 23 had 27 Baada ya hapo watanganza natumai itakuwa either Mbeya au Zanzibara tokana na wingi wa watu.Ni mwitikio wa Raia.
Dodoma na singida wamepita tayari ?
 
Dodoma na singida wamepita tayari ?

Hapana Bado Dodoma na Singida ila watakuwa wanaelekea huko,Nikushauri kuna link zipo kikanda na Kuna link ya Ukanda wa kati(TMT Central Zone) jiunge mjihabarishe.
Mkitimia Idadi ya 50 na above wanakuja tu Capital City
 
You can make EXCUSES and earn SYMPATHY, OR
You can make MONEY and earn ADMIRATION.

The choice is always yours...
Mkuu samahani nataka kuhudhuria semina ya jumatatu 23/10/2017 itakayo fanyika dar....sasa nataka kujua nalipaje pesa ya semina ?...na expense nyingine ni zipi?....
Thanks in advance mkuu i would like to get into this as soon as possible mkuu..
 
Ngoja nikusaidie ,pale post no 1 chini kuna namba ya simu ya ofisi, nakushauri upige ile namba upate maelekezo sahihi, usije ukakuta nafasi zimejaa ukiwa ktk kusubiri hadi Ontario akujibu.
 
Duuu... Basi atoe mwongozo hapa jukwaan, namna ya kumpata hewani maana ni jambo la.kiofisi ambalo sikuona umuhimu wa kuliweka hapa jukwaani.

Alishasema yeye Kujibu PM ngumu anapokea nyingi kupita maelezo
 
Duuu... Basi atoe mwongozo hapa jukwaan, namna ya kumpata hewani maana ni jambo la.kiofisi ambalo sikuona umuhimu wa kuliweka hapa jukwaani.
151c82f84ee514cae4bea96890b15a73.jpg

Mkuu namba za ofisi ni hizo mkuu
 
Ngoja nikusaidie ,pale post no 1 chini kuna namba ya simu ya ofisi, nakushauri upige ile namba upate maelekezo sahihi, usije ukakuta nafasi zimejaa ukiwa ktk kusubiri hadi Ontario akujibu.
Nimeenda ofisin kwao kabisa...all iz well...now ready for the journey
 
TMT FX LAKE ZONE II

Kwa wale mlioko Ukanda wa Ziwa Victoria kwa maana ya Kagera,Mara,Mwanza,Geita,Simiyu,Shinyanga,Tabora na mikoa yoote ya jirani mnakaribishwa sana........bonyeza link hiyo kujiunga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom