Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Sasa mi nimekushangaa namna ulivyoanza kumshutumu kwa kumuita mchawi? Ona sasa unamuita mpuuzi.We mwenye akili nashangaa umekula loss sasa hapo nani mpuuzi

Mchawi ni nani na dalili zake ni zipi?

Mchawi ni mtu yeyote asiyependa lolote lilio jema kwa binadamu mwezie yaani muda wote yeye ni mtu wa kufurahia mabaya yanayomtokea binadamu mwenzie, na endapo kama akiona binadamu mwenzie anafanya jitihada za kuondokana na shida au mateso basi ujenga chuki na hata kufanya jitihada za kumkwamisha hili tu aendelee kuwepo kwenye mateso!

Sasa kutokana na ufafanuzi huu hapo juu, tukija kwenye huu Uzi kuna watu wana fit kabisa kwenye hayo maelezo, watu wana chuki na wanafanya jiitahada za makusudi kukwamisha dhamira ya Uzi huu kwanini tusiwaite wachawi?

Huyo unaemtetea nae yumo kwenye kundi hilo.

Yaani mimi kupata loss unita ni upuuzi! Uko sawa sawa kweli wewe?

Una habari kwamba hata huyo aliyepo hapo kwenye avatar yako aliwahi kupata loss kubwa mpaka kampuni ya Microsoft ikasitisha kutoa divideds kwa muda wa miaka mitatu kwa wana hisa wake?

Huyo unaemtetea ni mpuuzi na hata wewe mwenyewe unaleta utetezi wa kipuuzi mpaka sasa hivi hakuna cha maana ulichokiandika, endelea kumtetea mpuuzi mwenzio
 
Mkuu ninavyomwelewa Alwatan pamoja na mafanikio anayoyapata katika kutrade hakuna pesa rahisi hata siku moja ni kama ilivyo kilimo cha mvua jinsi ambavyo kisivyotabirika though kuna watu wacalculate risks wanawekeza either wanaangukia pua au wanatoka kidedea,likewise forex siyo easy money it takes a lot knowledge, analysis, emotion and courage to invest!i have never been there but i surely know pamoja na training ya forex and mentorship it won't be easy, ukitaka any great achievement lazima ujiongeze....thats the part most us don't want hear...It is called reality.
Naam.

Nimeongea pia kwamba kupoteza hela kupo pia. Hata ma blueblood wa Greenwhich CT waliorithishwa viti vya Harvard Business School na Goldman Sachs hapo Wall St. huwa wanapoteza fedha.

Nimetoa mfano wiki chache zilizopita nilivyoanza na USD $1,700 AUD/USD ikanihanithi kunirudisha mpaka $ 800 nikapiga stoploss na kugeuza gia angani, katika wiki mbili hiyo $800 nikaipeleka mpaka just shy of $10,00. Nikatoa hela zote na kuanza upya.

Ukiingia katika biashara hii kwa kufikiri utapata faida kila trade, hujaielewa biashara hii. Ndiyo maana kuna money management. Unahakikisha hata ukipigwa, unanua jinsibya ku revenge na kupata zaidi ya ulivyopigwa.

Sasa kama mtu anaamua kubisha tu, anaweza hata kukubishia kwamba wewe si wewe, wewe ni robot tu unayeandika kwa program.

Utawezaje kukataa?
 
Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo..
1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about??
2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni wapi??
3)is it possible kwa hao brokers kufanya transactions via credit cards zetu kama crdb, nbc, nmb na nyinginezo??
4) kama jibu la 3 ni ndio process zipoje....
Lets share what we have so that tunaweza kujikwamua...
Natanguliza shukran kwanza
 
Sasa mi nimekushangaa namna ulivyoanza kumshutumu kwa kumuita mchawi? Ona sasa unamuita mpuuzi.We mwenye akili nashangaa umekula loss sasa hapo nani mpuuzi

Kingereza sio indicator ya akili nyingi kaka ni lugha tu kama kinyakyusa tu tatizo lipo wapi kama ingebandikwa pale juu hiyo hasara na faida huoni watu wengi wangepata kuoji maswali ya msingi kwa kuzingatia pande zote za shilling

Kwako wewe unaona mtu kuandika kingereza ni kiashiria cha akili nyingi?

Akili za kijima hizi. Ndio maana Nyerere aliwaweka kando na hii lugha tangu kwenye azimio la Arusha.

Shida yako ni kuona screenshot zimebandikwa juu au ni kuona screenshots za hasara!?

Halafu Ontario ameshawaambia hao wanafunzi wake anashare nao kila kitu kwanzia trading pairs mpaka analysis inamaanisha kuwa kama hao wamepata profit basi ni wote wamepata profit sijui hamuelewi nini.
 
Mchawi ni nani na dalili zake ni zipi?

Mchawi ni mtu yeyote asiyependa lolote lilio jema kwa binadamu mwezie yaani muda wote yeye ni mtu wa kufurahia mabaya yanayomtokea binadamu mwenzie, na endapo kama akiona binadamu mwenzie anafanya jitihada za kuondokana na shida au mateso basi ujenga chuki na hata kufanya jitihada za kumkwamisha hili tu aendelee kuwepo kwenye mateso!

Sasa kutokana na ufafanuzi huu hapo juu, tukija kwenye huu Uzi kuna watu wana fit kabisa kwenye hayo maelezo, watu wana chuki na wanafanya jiitahada za makusudi kukwamisha dhamira ya Uzi huu kwanini tusiwaite wachawi?

Huyo unaemtetea nae yumo kwenye kundi hilo.

Yaani mimi kupata loss unita ni upuuzi! Uko sawa sawa kweli wewe?

Una habari kwamba hata huyo aliyepo hapo kwenye avatar yako aliwahi kupata loss kubwa mpaka kampuni ya Microsoft ikasitisha kutoa divideds kwa muda wa miaka mitatu kwa wana hisa wake?

Huyo unaemtetea ni mpuuzi na hata wewe mwenyewe unaleta utetezi wa kipuuzi mpaka sasa hivi hakuna cha maana ulichokiandika, endelea kumtetea mpuuzi mwenzio
Definition umeiokota wapi dogo ila nimegundua kumbe nabishana na mtu aliyeliwa hela zake so natakiwa niwe calm maana we hizo hela zako ulizoliwa mpaka zifutike kichwani mwako sio leo.
Una cheza forex kwa kutumia hela za ada dogo
 
Naam.

Nimeongea pia kwamba kupoteza hela kupo pia. Hata ma blueblood wa Greenwhi h CT waliorithishwa viti vya Harvard Business School na Goldman Sachs hapo Wall St. huwa wanapoteza fedha.

Nimetoa mfano wiki chache zilizopita nilivyoanza na $1,700 AUD/USD ikanihanithi kunirudisha mpaka $ 800 nikapiga stoploss na kugeuza gia angani, katika wiki mbili hiyo $800 nikaioeleka mpaka just shy of $10,00. Nikatoa hela zote na kuanza upya.

Ukiingia katika biashara hii kwa kufikiri utapata faida kila trade, hujaielewa biashara hii. Ndiyo maana kuna money management. Unahakikisha hata ukipigwa, unanua jinsibya ku revenge na kupata zaidi ya ulivyopigwa.

Sasa kama mtu anaamua kubisha tu, anaweza hata kukubishia kwamba wewe si wewe, wewe ni robot tu unayeandika kwa program.

Utawezaje kukataa?
Mkuu naapreciate mchango wako kwenye hii thread na threads nyingine zinazohusu masuala ya global finance,u could decide to remain silent and use your knowledge only to your advantage ila ukaona si mbaya kushirikisha wadau experience yako kwenye haya masuala.Trust me you are an inspiration
 
Definition umeiokota wapi dogo ila nimegundua kumbe nabishana na mtu aliyeliwa hela zake so natakiwa niwe calm maana we hizo hela zako ulizoliwa mpaka zifutike kichwani mwako sio leo.
Una cheza forex kwa kutumia hela za ada dogo

Mbuzi kweli wewe, Nina winning rate ya 65% tangu nianze Ku trade!

Halafu mimi sio dogo baladhuri wewe, nimeona mengi na nnazidi kuona mengi mpaka unachofikiria kufanya kesho kutwa.
 
Tehe tehe machizi bwana kwa kujiona yenyewe mazima kiakili eti unaweza kuona hata yanayokuja mbele.Swali "SASA ULILIWAJE MPAKA UKALA HASARA TEHE TEHE
 
Mkuu naapreciate mchango wako kwenye hii thread na threads nyingine zinazohusu masuala ya global finance,u could decide to remain silent and use your knowledge only to your advantage ila ukaona si mbaya kushirikisha wadau experience yako kwenye haya masuala.Trust me you are an inspiration
Nashukuru sana kusikia hivyo.

Watu wakisikia negative stories tu wasipoona mafanikio inaleta picha ya kwamba hizi habari ni hadithi tu.

Katika wiki mbili nyingine lengo ni kufikisha $10,000 nyingine style ile ile. Halafu safari hii naipeleka mpaka $20,000.

Naacha wanaosema negative waendelee kusema tu.

Watch this space.
 
Tehe tehe machizi bwana kwa kujiona yenyewe mazima kiakili eti unaweza kuona hata yanayokuja mbele.Swali "SASA ULILIWAJE MPAKA UKALA HASARA TEHE TEHE

Kawada huwa namjibu mtu kulingana na comment ya mtu mwenyewe na wapi tulipoanzia!

Sasa wewe kwa akili zako za kuku nimekujibu hivyo nikiona kabisa ni jibu linalo kustahili sababu umeniita mimi dogo hunijui nikoje nafananaje, nina umri gani.. Yaani ume bashiri tu kuwa mimi ni dogo bila kujua kwamba pengine labda unabisha na Ex-boyfriend wa aliyekulea!

Sasa hilo LA kubashiri mimi ni dogo limeonesha kwamba wewe ni tahira, sasa kama ni tahiria mbona ni rahisi sana kutabili maisha yake ya siku mbili zijazo.
 
Tehe tehe machizi bwana kwa kujiona yenyewe mazima kiakili eti unaweza kuona hata yanayokuja mbele.Swali "SASA ULILIWAJE MPAKA UKALA HASARA TEHE TEHE

Kawada huwa namjibu mtu kulingana na comment ya mtu mwenyewe na wapi tulipoanzia!

Sasa wewe kwa akili zako za kuku nimekujibu hivyo nikiona kabisa ni jibu linalo kustahili sababu umeniita mimi dogo hunijui nikoje nafananaje, nina umri gani.. Yaani ume bashiri tu kuwa mimi ni dogo bila kujua kwamba pengine labda unabisha na Ex-boyfriend wa aliyekulea!

Sasa hilo LA kubashiri mimi ni dogo limeonesha kwamba wewe ni tahira, sasa kama ni tahiria mbona ni rahisi sana kutabili maisha yake ya siku mbili zijazo.
 
Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo..
1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about??
2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni wapi??
3)is it possible kwa hao brokers kufanya transactions via credit cards zetu kama crdb, nbc, nmb na nyinginezo??
4) kama jibu la 3 ni ndio process zipoje....
Lets share what we have so that tunaweza kujikwamua...
Natanguliza shukran kwanza
 
Nimefanya mazoezi ya kutosha na kusoma vitabu...kwa sasa nina mwanga kwa kiasi chake....katika kuongeza maujuzi napenda kujua vitu vifuatavyo..
1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about??
2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni wapi??
3)is it possible kwa hao brokers kufanya transactions via credit cards zetu kama crdb, nbc, nmb na nyinginezo??
4) kama jibu la 3 ni ndio process zipoje....
Lets share what we have so that tunaweza kujikwamua...
Natanguliza shukran kwanza
Nasubiri ujibiwe na mimi nidese majibu japo naona watu wako bize na matusi tu wakati hapa hata hatuyahitaji
 
ile shule tuliopigwa ni bure wala hata siku ifeal hiyo 65k kwingine hapa dar ni 500usd ~ 1.2tzs, kwanza tumekutana na wabobezi katika very early stages za safari yetu ya forex trading...na pia tunapata live experiance huku tunasoma...kingine nachopendea TMT wanatufundisha uzalendo...uzalendo kwa taifa letu uzalendo kwa africa...tunafundishwa kupenda kulipa kodi....yani kuna wakati teacher anafundisha hadi unapata jazba...jinsi anavoelezea maisha ya africa na vijana wake kila siku tunagombanishwa na western hatupendani....mwalimu anafundisha kurudisha tutachopata kwa jamii...we utapata wapi shule kama hiyo?? TMT is the game changer in africa...tunafundishwa ku diversfy chochote tutachokipata ili kucreate ajira kwa vijana wenzetu na kuwainua kiuchumi wao na familia zao. i can write the whole day, but one thing am telling you...there is no where you will find this training except at TMT.
From monday i will start sharing my blue screens....hapa nilipo nakula shule balaa....am the next big thing mark my word. Thanks to ONTARIO and the whole TMT team.
 
Noted
Mkuu ninavyomwelewa Alwatan pamoja na mafanikio anayoyapata katika kutrade hakuna pesa rahisi hata siku moja ni kama ilivyo kilimo cha mvua jinsi ambavyo kisivyotabirika though kuna watu wacalculate risks wanawekeza either wanaangukia pua au wanatoka kidedea,likewise forex siyo easy money it takes a lot knowledge, analysis, emotion and courage to invest!i have never been there but i surely know pamoja na training ya forex and mentorship it won't be easy, ukitaka any great achievement lazima ujiongeze....thats the part most us don't want hear...It is called reality.
Noted
 
1) nataka nishift from demo account to real account, how do i go about??
Cha kwanza ni kuchagua broker, nadhan kama kweli umesoma basi unajua maana ya ECN,STP na market marker broker! if that is the case then from there you can choose broker, there is alot of them out there!! Ukishachagua unaweka pesa unaanza ku trade!!
2) brokers ambao most of you mnatumia hasa mliohudhuria kwenye seminors ni wapi??
Broker aliyependekezwa ni JPMarket na ndiye anayetumiwa kwenye training ya TMT!!
3)is it possible kwa hao brokers kufanya transactions via credit cards zetu kama crdb, nbc, nmb na nyinginezo??
Yes.

Sio hao tu, unaweza tumia card yeyote ya visa au mastercard!! BTW brokers wengi wana options nyingi za kuweka na kutoa pesa kwa hiyo ukishachagua broker utaziona hizo options! kwa kuongezea tu, kuna benki za kibongo zinasumbua sana kwenye online so keep that into consideration!!
4) kama jibu la 3 ni ndio process zipoje....
Hamna complications, uwe na pesa na uwe na card yako ambayo kuna namba ziko nyuma ya card ndio utazitumia ku deposit!!
Lets share what we have so that tunaweza kujikwamua...
Natanguliza shukran kwanza
Kwa kukushauri, kama unaweza nenda kwenye training huko utapewa muongozo wote kuanzia mwanzo mpaka mwisho plus free mentorship!!

Karibu!

Cc Uncle Jei Jei
 
Cha kwanza ni kuchagua broker, nadhan kama kweli umesoma basi unajua maana ya ECN,STP na market marker broker! if that is the case then from there you can choose broker, there is alot of them out there!! Ukishachagua unaweka pesa unaanza ku trade!!

Broker aliyependekezwa ni JPMarket na ndiye anayetumiwa kwenye training ya TMT!!

Yes.

Sio hao tu, unaweza tumia card yeyote ya visa au mastercard!! BTW brokers wengi wana options nyingi za kuweka na kutoa pesa kwa hiyo ukishachagua broker utaziona hizo options! kwa kuongezea tu, kuna benki za kibongo zinasumbua sana kwenye online so keep that into consideration!!

Hamna complications, uwe na pesa na uwe na card yako ambayo kuna namba ziko nyuma ya card ndio utazitumia ku deposit!!

Kwa kukushauri, kama unaweza nenda kwenye training huko utapewa muongozo wote kuanzia mwanzo mpaka mwisho plus free mentorship!!

Karibu!

Cc Uncle Jei Jei
Thanks....nimekuelewa
 
Nashukuru sana kusikia hivyo.

Watu wakisikia negative stories tu wasipoona mafanikio inaleta picha ya kwamba hizi habari ni hadithi tu.

Katika wiki mbili nyingine lengo ni kufikisha $10,000 nyingine style ile ile. Halafu safari hii naipeleka mpaka $20,000.

Naacha wanaosema negative waendelee kusema tu.

Watch this space.
Sijawahi kuwa na mashaka na wewe kabisa mkuu@ Al Watan na watu wote wanaotumia fursa hii kupiga hatua, haters tahadhari hizi mnazotupigia kelele wapeni wadogo zenu wanaowategemea sisi tumekubali kutapeliwa kiroho safi hela zetu mtupe nyie mipango wacha tuwekeze huko tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom