Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

Ujinga ni kudhani unajua, unachofanya ni kuwaingiza wenzio chaka zito!
Ukome kunielekeza cha kuandika.
Narudia kusema ukome!

Unawaalika watu kukujoin "KUBETI"

Waambie hivyo!
Waambie njooni "Tubeti online"

Nasisitiza ONTARIO anawafundisheni kubeti kulikopewa jina na "maprofesa" "Trading"

Mnabahatisha tu na sii vinginevyo.
mkuu hii ni fursa..kwa vile forex ni kubet,vipi ukianza kuuza "odds"?au hata uzitoe free ufaidi sifa?utapata followers wengi tu.anzisha kagroup huko telegram ukaite FOREX BETTING-BET WITH A PRO!!naamini utapata hela sana mtetezi wa umma natania tu usilianzishe.
 
Nacheka kwa sauti
 
Silianzishi mkuu!
Napenda tuwe na huruma na fedha za watu, sio kupenda networking kututoe kwenye utu.
 
Kwanini unaanza kuongea huku unajitetea kuwa si hater?? kutafuta huruma ama?? Ukitaka kuprove kua una tuelements twa uchawi, rudi nyuma soma thread yangu upya. Unasema nimeweka screenshot 3, wkt kiuhalisia nimeweka screenshots 5 to be exact. Ulitaka niweke testimonials za watu 100, hiyo thread ingefananaje??

Tuwe na akiba ya maneno boss... darasani tulitrade live na wanafunzi waliokuja asubuhi, kama wanafunzi 50 hivi. Na kati ya hawa 50 wengi wao walikua bado hawajafund live accounts zao, yani bado hawajaweka capital kwenye trading accounts zao. So hizo screenshot ni za wale wachache tuliotrade nao. And a matter of fact, we all trade as a team, sio kila mtu anatrade kivyake. So nikipost Profits za GBPUSD sell, jua team nzima imegonga profits, hata kama nikiweka screenshot 1.
24bab480457c3901dc919bef6e0c6efb.jpg
Screen shots km hizi sikuziweka, coz najua zingewaumiza watu wa aina yako... mtu analaza mshahara wako wa robo mwaka ndani ya siku 1.

Mimi hua sipendi kupiga sn kelele, I will let time and results shout on my behalf chief. When you talk, some niqqa out there grind big time.

Tunasubiri dakika kadhaa soko lifunguliwe. My target for the week is 8000 USD in profits. Nothing less!!
Mkuu Ontario eeeh!!! Hebu nikopeshe hata 500$. Sio kwa kupiga huko faida.
 
Ujinga ni kudhani unajua, unachofanya ni kuwaingiza wenzio chaka zito!
Ukome kunielekeza cha kuandika.
Narudia kusema ukome!

Unawaalika watu kukujoin "KUBETI"

Waambie hivyo!
Waambie njooni "Tubeti online"

Nasisitiza ONTARIO anawafundisheni kubeti kulikopewa jina na "maprofesa" "Trading"

Mnabahatisha tu na sii vinginevyo.

Sawa mkuu wangu. Sitakupangia tena cha kuandika, it's you and your keyboard.

Hua sipendi sn kushinda mitandaoni, kujibizana na watu, coz nafahamu kuna watu wazima wengine umri wa baba'ngu, I therefore keep it clean. I talk less and do more. That's all!!

Mimi nitaendelea kumotivate vijana wenzangu kukimbizana na teknolojia, kila siku dunia inabadilika... AirBnB is the largest hotel chain in the world lkn hawamiliki hata chumba kimoja, Uber is the largest transportation agent lkn hawana hata taxi 1, amazon is the largest retailer on earth lkn hawana hata genge 1...

Kama unasema naBet acha niendelee kubet boss wangu, haya ndio maisha nimeamua kuishi.
95d774e82ae5c6e86a068793587e9482.jpg
 
Blue screen,na hizo ni siku 2 tu za Ku trade from 99 to 200 na kitu

Hivi wale haters wako wapi? Wakuu this shit is real big up kea mkuu Ontario endelea kuwa prove wrong
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-25-18-45-35.png
    Screenshot_2017-09-25-18-45-35.png
    34.8 KB · Views: 58

Similar Discussions

Back
Top Bottom