Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

Shida ya wanaume mkifanyiwa mnaona Kama mmekosewa sana akati mmetufundisha wenyewe

Hongera pia kwa kuweza ku control hasira zako ndo uanaume huo kuweza kuhimili

Na huo ni mwanzo tu utasema tu bado hujasema
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu eti amtunzie

Men are selfish...except you my friend

uselfish ndo kitu sikipendi na niko shot en clear bas drama ndo staki kabsa, long distance relationship ndo kitu staki ata kuskia huo upuuzi,
Kama wiki imepita mwanamke ananiambia aliandika barua aliomba kazini kwake likizo anakwenda iringa kuendelea kusoma sjui degree yake yamavitu gani nilichomjibu nilimwambia Amani ya Bwana iwenawe nikaondoka skutaka mambo mengi kabaki kantolea macho haelew
 
Habar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale.
Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa nilisoma maoni ya wadau mbali mbali kwa kweli niseme kile nilichokua nawaza kichwani kumfanyia hakika Kingeweza kuleta madhara makubwa ulemavu wa kudumu au kifo..
Sasa nilichokifanya baada ya kusoma maoni hapa nili cancel safari ya kwenda dar nikaamua kubaki Dodoma ili nijipe muda wa kuwaza na kutafakari vizuri na kuituliza hasira yangu..

Baada ya kukaa na kutafakari kwa kina niliona hakuna sababu ya kumpiga au kufanya fujo yoyote juu yake.
Niliamua ntamuacha aendelee na maisha yake na mm niendelee na maisha yangu..
Na tangu jumatano nipo dar na nilimuita nyumbani na nikamuuliza japo alibisha nilimbana sanaaa mpaka akaeleza ukweli wote..
Ukweli ni kwamba alinisaliti, nilimueleza siwez kuendelea nae tena lkn muda wote niliokua naongea nae nilibadilika sura ilabadilika kifua kikatuna kwa hasira ila kwa vile tiari nilikua nishosoma maoni mengi ya wadau hapa sikumpiga hata kibao ..

Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka..
Alikua mgumu kuondoka na ilikua ni mida ya saa tatu usiku , kwa jinsi nilivokua nimechukia hakuwah kuniona katika hali kama hiyo ya kukasirika kiasi kile, nilimuambia nakupa lisaa limoja nikirudi nikikukuta humu ndani kichwa chako kitakua ni halali yangu.. nikaondoka nikaenda sehem nikakaa sikutaka kutumia kilevi chochote nilikunywa maji tuu saa sita usiku nilirudi sikumkuta..
Japo tangu juzi nimekua nikitafutwa na ndugu zake na marafiki zake sijapokea simu zao sababu sina mpango wa kumsamehe.
Naamini Mungu atanipa wangu sahihi kwa wakati Muafaka..

Wanawake nawasihi usaliti sio kitu kizur wanaume huwa hatuna roho ya kumsamehe msaliti. Ukiamua kusaliti Linda heshima ya mtu wako fanyia mbali uovo wako ila za mwizi ni arobaini..
Asanteni sana kwa ushauri wenu hakika pengine sa hii ningekua jela..
Ila omba yasikukute kusalitiwa na mchumba inauma sana...
Mkuu mwanamke wakutomber peke yako utampata wapi! Si wenzio now hatuna wivu kabisa, maana sisi wenyewe sio waaminifu
 
Mkuu hongera sana kwa maamuzi uliyofanya, Ila changamoto bado ipo pale pale, Sidhani kwa dunia ya leo kuna wanawake waaminifu kabisa 100%, coz sahv utatafuta mwanamke mwingine ambaye ni X wa mwanaume mwingine na hujui sababu iliyowafanya wakashindwana na mtu wake, so cycle ni ile ile

Me nnapoelekea naona akili yangu ishaanza kukubaliana na huu ukweli, so napambana mwanamke ntayefanya naye maisha at least anizalie watoto wa damu yangu.

Haya mengine nishakubali sitaweza kuyazuia.Naifanyia training akili yangu kwa maslahi ya afya yangu. Sitaki niruhusu kuumizwa na mapenzi
 
A real man, one in a million...
Mwengine angetaka aende Dom, huko yeye anaanzisha mahusiano mapya, halafu anataka aliyemuacha Dar aishi kitakatifu eti amtunzie

Men are selfish...except you my friend
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
 
uselfish ndo kitu sikipendi na niko shot en clear bas drama ndo staki kabsa, long distance relationship ndo kitu staki ata kuskia huo upuuzi,
Kama wiki imepita mwanamke ananiambia aliandika barua aliomba kazini kwake likizo anakwenda iringa kuendelea kusoma sjui degree yake yamavitu gani nilichomjibu nilimwambia Amani ya Bwana iwenawe nikaondoka skutaka mambo mengi kabaki kantolea macho haelew
Mkuu hiyo principle yako itakusaidia sana kuishi kwa amani
 
Vizuri sana, sikuhizi sheria zipo upande wa wanawake, watoto na mashoga.
Wanaume tunawindwa sana japokua huwezi ona hii vita baridi kwa macho mawili.
Kaa nae mbali na uachane nae kabisa, bahari ina samaki wengi hakuna haja ya kujisumbua na mmoja, ukiwa tayari andaa zana zako za uvuvi ingia tena baharini.
Mkuu umeongea ukweli kabisa.

Kwa nchi za ughaibuni watu wanao lindwa sana na sheria ni watoto, wanawake na mashoga.

Hasa hasa nchi za Ujerumani na Marekani.

Yaani hata kuwaongelea vibaya tu ni kosa.
 
Mkuu mwanamke wakutomber peke yako utampata wapi! Si wenzio now hatuna wivu kabisa, maana sisi wenyewe sio waaminifu
Mkuu nakubaliana na wewe , Inabidi watu wajifunze ku control wivu wachukulie ni kawaida demu kuliwa kama ilivyo kwa malaya kuliwa na kila mtu na usimuonee wivu

Kufikiria kumpata mwanamke ambaye utakua unamla peke yako ni kujidanganya
 
Habar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale.
Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa nilisoma maoni ya wadau mbali mbali kwa kweli niseme kile nilichokua nawaza kichwani kumfanyia hakika Kingeweza kuleta madhara makubwa ulemavu wa kudumu au kifo..
Sasa nilichokifanya baada ya kusoma maoni hapa nili cancel safari ya kwenda dar nikaamua kubaki Dodoma ili nijipe muda wa kuwaza na kutafakari vizuri na kuituliza hasira yangu..

Baada ya kukaa na kutafakari kwa kina niliona hakuna sababu ya kumpiga au kufanya fujo yoyote juu yake.
Niliamua ntamuacha aendelee na maisha yake na mm niendelee na maisha yangu..
Na tangu jumatano nipo dar na nilimuita nyumbani na nikamuuliza japo alibisha nilimbana sanaaa mpaka akaeleza ukweli wote..
Ukweli ni kwamba alinisaliti, nilimueleza siwez kuendelea nae tena lkn muda wote niliokua naongea nae nilibadilika sura ilabadilika kifua kikatuna kwa hasira ila kwa vile tiari nilikua nishosoma maoni mengi ya wadau hapa sikumpiga hata kibao ..

Nilimuamuru achukue kila kilicho chake au anachoona kinafaa na vyote nilivomfanyia nilimuambia abaki navyo tu.
Japo aliomba sana msamaha na kulia hakika sikumuelewa sabab moyoni alishatoka..
Alikua mgumu kuondoka na ilikua ni mida ya saa tatu usiku , kwa jinsi nilivokua nimechukia hakuwah kuniona katika hali kama hiyo ya kukasirika kiasi kile, nilimuambia nakupa lisaa limoja nikirudi nikikukuta humu ndani kichwa chako kitakua ni halali yangu.. nikaondoka nikaenda sehem nikakaa sikutaka kutumia kilevi chochote nilikunywa maji tuu saa sita usiku nilirudi sikumkuta..
Japo tangu juzi nimekua nikitafutwa na ndugu zake na marafiki zake sijapokea simu zao sababu sina mpango wa kumsamehe.
Naamini Mungu atanipa wangu sahihi kwa wakati Muafaka..

Wanawake nawasihi usaliti sio kitu kizur wanaume huwa hatuna roho ya kumsamehe msaliti. Ukiamua kusaliti Linda heshima ya mtu wako fanyia mbali uovo wako ila za mwizi ni arobaini..
Asanteni sana kwa ushauri wenu hakika pengine sa hii ningekua jela..
Ila omba yasikukute kusalitiwa na mchumba inauma sana...

Pole mwaya
 
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
Sasa toka lini dawa ya moto ikawa maji? Yeye aanzishe mahusiano mapya huko, huku Mimi nimtunzie? Kwa sababu aliniumba yeye?🤣🤣

Afu inakujaga tu automatically, ukianza kucheat, nature huwa inamletea mtu wako watu wa kumuimbisha Ili mzani ibalance🤣 Rejea law of equilibrium 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo wewe mumeo ama mpenzi ukisikia anakusaliti na wewe unamsaliti? Kama kweli ndicho unachomaanisha hapa basi makahaba ni wengi sema hawana alama.
Mkuu usipanic kwa dunia ya leo ndo mtindo wa maisha ...wanawake kwa wanaume wanasalitiana, we unaweza ona wa kwako ametulia lakini huko behind the sceen wahuni wanajipigia ile mbaya
 
Back
Top Bottom