Mramba alitishia watanzania kula Nyasi, JK katimiza huu usemi

Nani Kasema

Senior Member
May 31, 2011
148
27
Ukiangalia Hali ya nchi ilipo - bei ghali za vitu na Hali ngumu ya maisha.

Na ukisoma habari kuwa serikali ya JK imetumia mabilioni kununua jengo huko NY,

Basi, utagundua kuwa JK ameamua kutimiza mpango wa serikali ya CCM wa kuhakikisha kuwa watanzania wanakula nyasi.

I am just saying
 
Bado hatujafikia kula nyasi ingawa maisha ni magumu,tukubaliane tu kuwa tuna changamoto nyingi ambazo tunazo katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha na viongozi wetu hawana suluhisho la kudumu la matatizo ya wananchi,hivyo kabla hatujaanza kula hizo nyasi basi tukaze mkanda na kupigania haki,rushwa na kuuondoa ufisadi ili nchi yetu einde mbele zaidi kimaendeleo.
 
Joseph, CCM wanataka ule nyasi, wewe fuatilia kwa makini wanachofanya kikwete na wenzake huko ufisadiville
 
Nachukia ufisadi, nachukia nape kwenda marekani kwa hela zetu kwa sababu zisizo na msingi, nachukia serikali kununua majengo huko marekani kwa kwa mabilioni ya sh wakati waTz wakitaabika mahospitalini etc, Nachukia..... many things.... I can not list all of them.
 
Yaani hasira hadi basi
 
SImfagilii mramba kwa sababu ya kauli zake chafu kama watz kula nyasi.
 
Moja ya viongozi ninaochukia kutokana na kauli zao ni huyo Mrombo! sikuamini masikio yangu wakati akiliambia bunge kipindi akiwa waziri wa fedha eti ni bora wananchi wale nyasi illi radar inunuliwe,nakumbuka wakati anatoa hayo maamuzi bungeni kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale UDSM ambao walidahiliwa lakini waliachwa kwa kukosa udhamini wa serikali (wakati bodi ya mikopo haijaundwa).....then nikaja kumsikia akitoa pumba zake tena bungeni akitetea serikali kununua ndege ya raisi ambayo inatua kwenye viwanja visivyozidi vitano vya mikoa yote ya Tanzania...kwenye hili alisema ndege lazima inunuliwe na akahoji kwamba mnataka raisi wetu atembelee punda!he is bogus of them all!
 
Ukiangalia Hali ya nchi ilipo - bei ghali za vitu na Hali ngumu ya maisha.

Na ukisoma habari kuwa serikali ya JK imetumia mabilioni kununua jengo huko NY,

Basi, utagundua kuwa JK ameamua kutimiza mpango wa serikali ya CCM wa kuhakikisha kuwa watanzania wanakula nyasi.

I am just saying

Kweli kijana halafu hizo nyasi zipo hapa, tazama watu wanavyozichangamkia, fata link:

https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/189948-hii-ndo-raha-ya-bukoba-kagera-tanzania.html
 
FaizaFoxy
Mbona sasa hivyo vyakula havinunuliwi? Huoni kuwa wananchi hawana HELA?
 
Ukiangalia Hali ya nchi ilipo - bei ghali za vitu na Hali ngumu ya maisha.

Na ukisoma habari kuwa serikali ya JK imetumia mabilioni kununua jengo huko NY,

Basi, utagundua kuwa JK ameamua kutimiza mpango wa serikali ya CCM wa kuhakikisha kuwa watanzania wanakula nyasi.

I am just saying

Umbumbumbu ni kitu kibaya kama upofu! Kwa akili zako za wastani unadhani kwamba hali ngumu ya maisha iko hapa nchini peke yake na suluhisho lingekuwa ni kuacha kununua jengo huko NY. Kodi ya pango ya ubalozi ni dola 40,000 kwa mwezi ambayo ni sawa na dola 4.8 milioni kwa mwaka na ni dola 48 milioni kwa miaka 10. Kwa kununua jengo hilo, serikali itaokoa kiasi hicho, na wakati huo huo kupata wastani wa dola 200,000 kwa mwezi kama kodi. Sasa kati ya wewe na serikali mwenye akili zilizolishwa nyasi ni nani?
 
Sasa, mimi na wewe nani mbumbumbu?

Kodi kwa mwezi ikiwa dola 40,000 (kama ulivyosema), kwa mwaka itakuwa laki nne na themanini (480,000) na wala sio 4.8 million kama unavyodai wewe.

Mafisadi wa ccm hamjachoka tu kuwaibia wananchi?
 
Wakuu wale wa umri km wangu na zaidi wanakumbuka waziri mmoja aliyekuwa waziri wa fedha katika awamu ya tatu ya Mheshimiwa Mkapa aliwahi kuleta malumbano na wananchi, kwaani wananchi na wafadhiri walesema kununua ndege ya Rais haikuwa kipaumbele, lakini waziri huyo alisema kuwa bora watanzania wale nyasi lkn ndege ya Rais lazima ununuliwe. baada ya ndge kununuliwa GULF STREM Rais alikuwa anaiogopa kwaani hata wafadhili wetu walikuwa wakitumia ndege za abilia. Ndge hii imekuwa mzigo.

SWALI: Huyo waziri sasa anakula nyasi au dona?

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
Jk alimfunga yule baba,halafu ile ndege akaitumia kuizunguka dunia,ha ha ha
 
Back
Top Bottom