nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
i suspect somay be yes , may be no, what if at the time of speech delivery by the senator we had our VAT rate at that amount?

Ghana VAT ni 5%, kwa biashara kubwa. 3% biashara za kati na 0% kwa biashara ndogo.the senator might not be well informed
our VAT rate is 18% and not 20%
"President Magufuli needs to listen this. Too much taxes kill economy. For example Tanzania has 30% tax and 20% Value added Tax” ~ Mr. Senator
Senetor anasema kwa mfumo wa kodi wa Tanzania tusahau makampuni makubwa kuja kuwekeza Tanzania na kwa mfumo huu wa kodi kampuni zinakimbia kwa kuwa bidhaa hazitauzika kutokana na kodi kubwa inayopelekea bidhaa kuwa ghari.
Bidhaa ikiwa ghari hakuna kipato na kama hakuna kipato biashara zinafungwa.
Kwa ujumla kinachotokea sasa nchini kinachochewa na mfumo mbovu na ghari wa kodi
Aisee kumbe hata hujasoma ulichotuletea?!!!!!!!!Kuna sehemu kataja Magufuli
100% true.Kwa kodi za Tanzania, mwekezaji au mfanyabiashara akilipa kikamilifu kabisa, lazima afunge biashara.
Siku za nyuma, wengi walikwepa kulipa hizi kodi zisizolipika kwa mbinu mbalimbali.
Kwa sasa ambapo ulipaji wa kodi unafuatiliwa sana, serikali ilistahili kushusha kodi zote na baadhi ya kodi kuzifuta ili watu walipe kikamilifu kwa nia ya kuvutia uwekezaji na kukuza biashara.
VAT isizidi 10%, corporate tax isizidi 25%, royalty isizidi 4%. Rental fees kwenye leseni za madini zishushwe na kufikia viwabgo vya awali. Leseni za biashara zisitolewe kwa sharti la kulipa kodi kwanza wakati hata biashara yenyewe hujaanza.
Mabadiliko hayo yatapunguza sana mapato ya serikali kwa kipindi fulani lakini baadaye yataongezeka na kuzidi ya wakati huu.
Marekani wanaotufadhili mpaka matangazo ya condom wanatunyonya nini kwa mfano?Ukisikia wazungu wanalialia kuhusu nchi fulani ya Africa ujue wameshikwa pabaya na unyonyaji wao..
sawa lakini ukweli ndiyo huo ndg yangu kamwe hatuwezi songa mbele. mwisho nao watatuchoka kabisa !!!!!the senator might not be well informed
our VAT rate is 18% and not 20%
"President Magufuli needs to listen this. Too much taxes kill economy. For example Tanzania has 30% tax and 20% Value added Tax” ~ Mr. Senator
Senetor anasema kwa mfumo wa kodi wa Tanzania tusahau makampuni makubwa kuja kuwekeza Tanzania na kwa mfumo huu wa kodi kampuni zinakimbia kwa kuwa bidhaa hazitauzika kutokana na kodi kubwa inayopelekea bidhaa kuwa ghari.
Bidhaa ikiwa ghari hakuna kipato na kama hakuna kipato biashara zinafungwa.
Kwa ujumla kinachotokea sasa nchini kinachochewa na mfumo mbovu na ghari wa kodi
kabisa!!!!!!!Mfumo wa kidikteta hausikilizi mtu

Ni nani anenda kuomba mikopo? Mkopaji au mkopeshaji????????????????Hapo ukitafsiri vizuri hotuba yake unakuta wanajilaumu wenyewe kuwa ndio wametutengenezea matatizo kwa mikopo yao isio lipoka
Maana ni mzungu anayenunua sukari 2500?Ukisikia wazungu wanalialia kuhusu nchi fulani ya Africa ujue wameshikwa pabaya na unyonyaji wao..
Wasenge tu hao wazungu huku kwao ndio kuna ma kodi kibao ya kijinga kabisa mbona hawalalamiki? Wameshikwa pabaya tu na hii awamu ya 5; Magufuli hajaongeza kodi yoyote haya makodi yalikuepo toka enzi mbona hawakulalamika vipindi hivyo vilivyopita. Kwao kuna ma kodi ya kufa mtu ila nchi za Afrika zikiwabana kidogo tu kelele ili wazidi kuzinyonya. Ngosha kaza buti baba.. hapa kazi tu.
kodi kama kodi sio ishu..tatizo huku kuna utitiri wa kodi...Nchi ya Japan pamoja na utajiri walio nao wanalipa VAT 9% Sie nchi maskini tunalipishana 18%... Huko nyuma nilishashauri serikali ipunguze VAT kwa bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya ndani ili kuvipa nguvu na kuvifanya viwe competitive!