Mr Khalfan Hemed Khalfan - Amefariki, Mwanzilishi wa Zanzibar Association of Disabled

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Nimesikia Mr Khalfan Hemed Khalfan amefariki dunia na kuzikwa jana, ni mwanzilishi wa Zanzibar Association of the Disable.
 
Nimesikia Mr Khalfan Hemed Khalfan amefariki dunia na kuzikwa jana, ni mwanzilishi wa Zanzibar Association of the Disable.

Mmungu amuhufirie madambi yake naammpe makazi mema peponi karibu na yeye Amin pia poleni wafiwa ni mwalimu aliyetusomesha wengi pale VIKOKOTONI .
 
Mungu amuepushe na adhabu za kabri na akhera pia amshamehe mazambi yake .kwake ndiko tulikotokea na kwake ndio tutakaporejea na kila nafsi itaonya adhabu ya mauti .
 
Mola amlaze pema, na awape wafiwa ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Mwenyezi Mungu amuweke kwenye barza la FIRDAUS.poleni wafiwa msiba ni wetu sote.
 
Inna lilaahi maa akhadha walahu ma A'atwa, wakulu shay-in ‘indahu bi ajali musammaa, faswbir wahtasib

Alhamdulillah! hapana shaka ni kiumbe chake Mwenyezi Mungu alichokitwaa na ni chake alichokitoa, na kila jambo kwake ni kwa wakati na muda maalum (uliopangwa) , basi wafanye subira (wafiwa) na wataraji malipo kwa kusubiri kwao. Mwenyezi mungu awape utulivu na amani katika kipindi hiki cha msiba Insha'Allah.

Hizi si tetesi kaka... ni kweli ndugu yetu amefariki siku ya Jumamosi... huko Zanzibar...!
 
Back
Top Bottom