Mr Clean awakosha wakandarasi, kuanzia sasa wazawa kupata kazi kubwa wawaajiri wazungu

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214

Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Makandarasi na Washauri Elekezi wa Ndani ulioangazia nafasi yao katika utekelezaji wa miradi.

“Sheria ilikuwa inawapa local content Wakandarasi bora ambao ni wazawa lakini kwa sasa wazawa wanaruhusiwa kupata mradi wenye ukubwa wowote na kuruhusiwa kuajiri wakandarasi wengine kutoka nje kwa miradi wanayotekeleza" alisema Dkt. Nchemba .

Kuhusu malipo ya Wakandarasi, Dkt. Nchemba alisema kuwa kila mwaka Serikali inatenga fedha za kulipa madeni na miradi inayoendelea ambapo inatenga zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kuwalipa Wakandarasi, watoa huduma na wazabuni na hivyo kuwataka wanaoidai Serikali kuwa wavumilivu wakati jitihada za kuwalipa zikiendelea.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi, Mhe. @innobash , amesema kuwa katika mwaka wa Fedha 2023/2024 kazi zote za matengenezo ya Barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kupitia Mfuko wa Barabara kwa mikoa 26 nchini zitatekelezwa na Wakandarasi wa ndani na hilo ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ametoa rai kwa wananchi kuwa wakiona kwenye mikoa kuna wakandarasi wa nje wanafanya kazi hizo kwa fedha za mfuko wa barabara watoe taarifa kwa kuwa watakuwa wamekwenda kinyume na maelekezo ya Serikali.

Naye Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw. Daniel Chongolo, alisema kuwa ni lazima kuaminiana na kuwawezesha wakandarasi wazawa kufanya mambo makubwa kwa kuweka mazingira ambayo yatawafanya makandarasi wazawa kuongeza viwango na kuweza kufanya kazi nje ya nchi kama wakandarasi wa nje wanavyokuja kufanya kazi nchini.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bi. Aisha Amour, alisema kuwa Tanzania inajumla ya Wakandarasi 15,665 ambapo wakandarasi wa ndani ni 15,091 ilihali wakandarasi wa nje ni 574 ambapo Kampuni za wakandarasi wanawake ni 1,215.

Aidha wadau wa mkutano huo wameeleza kuwa miradi iliyotekelezwa kuanzia mwaka 2013 hadi 2023 ni miradi 36,839 na kati ya miradi hiyo thamani yake ilikuwa shilingi trilioni 61 ikiwa ni miradi iliyosajiriwa na CRB, kati ya miradi hiyo, miradi 35,351 yenye jumla ya shilingi trilioni 23.75 ndiyo ilitekelezwa na makandarasi wa ndani, hatua iliyosababisha kuwa na mkutano huo ili kujadili namna wakandarasi wazawa wanavyoweza kutumia fursa zilizopo kuongeza kiwango cha ushiriki katika utekelezaji wa miradi mikubwa inayotekelezwa nchini.
 
Huku kwetu wakandalasi wazawa wametuachia mashimo barabara ambayo wananchi kwa nguvu na pesa zao walikuwa wanaihudumia na kuwa safi.

Huyo mzawa kaharibu kaondoka zake. Zaidi katupigia hesabu ya huo uharibifu, ambao yeye anasema ndio ujenzi mamilioni ya fedha yaliyotumika.
 
Wapumbavu ni kawaida majungu.
Tupe location na picha.
 
Mimi siamini hadi sheria zirekebishwe ili kipUmnele ujenzi kiwe sazawa.
Magufuli alifanya hivihivi na baada ya urais akatupiga Force Account.
 
Hivi Yule kandarasi aliyejenga barabara ya Chalinze Morogoro ni nani?
Nafikiri ile ni moja ya barabara ya mfano inayopitisha malori mengi na makubwa ila imeweza kutumika kwa angalau mika 15 - 20 bila matengenezo. Wakandarasi wakajifunze hapo.....
 
Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Makandarasi na Washauri Elekezi wa Ndani ulioangazia nafasi yao katika utekelezaji wa miradi.

“Sheria ilikuwa inawapa local content Wakandarasi bora ambao ni wazawa lakini kwa sasa wazawa wanaruhusiwa kupata mradi wenye ukubwa wowote na kuruhusiwa kuajiri wakandarasi wengine kutoka nje kwa miradi wanayotekeleza" alisema Dkt. Nchemba .

Kuhusu malipo ya Wakandarasi, Dkt. Nchemba alisema kuwa kila mwaka Serikali inatenga fedha za kulipa madeni na miradi inayoendelea ambapo inatenga zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kuwalipa Wakandarasi, watoa huduma na wazabuni na hivyo kuwataka wanaoidai Serikali kuwa wavumilivu wakati jitihada za kuwalipa zikiendelea.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi, Mhe. @innobash , amesema kuwa katika mwaka wa Fedha 2023/2024 kazi zote za matengenezo ya Barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kupitia Mfuko wa Barabara kwa mikoa 26 nchini zitatekelezwa na Wakandarasi wa ndani na hilo ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ametoa rai kwa wananchi kuwa wakiona kwenye mikoa kuna wakandarasi wa nje wanafanya kazi hizo kwa fedha za mfuko wa barabara watoe taarifa kwa kuwa watakuwa wamekwenda kinyume na maelekezo ya Serikali.

Naye Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw. Daniel Chongolo, alisema kuwa ni lazima kuaminiana na kuwawezesha wakandarasi wazawa kufanya mambo makubwa kwa kuweka mazingira ambayo yatawafanya makandarasi wazawa kuongeza viwango na kuweza kufanya kazi nje ya nchi kama wakandarasi wa nje wanavyokuja kufanya kazi nchini.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bi. Aisha Amour, alisema kuwa Tanzania inajumla ya Wakandarasi 15,665 ambapo wakandarasi wa ndani ni 15,091 ilihali wakandarasi wa nje ni 574 ambapo Kampuni za wakandarasi wanawake ni 1,215.

Aidha wadau wa mkutano huo wameeleza kuwa miradi iliyotekelezwa kuanzia mwaka 2013 hadi 2023 ni miradi 36,839 na kati ya miradi hiyo thamani yake ilikuwa shilingi trilioni 61 ikiwa ni miradi iliyosajiriwa na CRB, kati ya miradi hiyo, miradi 35,351 yenye jumla ya shilingi trilioni 23.75 ndiyo ilitekelezwa na makandarasi wa ndani, hatua iliyosababisha kuwa na mkutano huo ili kujadili namna wakandarasi wazawa wanavyoweza kutumia fursa zilizopo kuongeza kiwango cha ushiriki katika utekelezaji wa miradi mikubwa inayotekelezwa nchini.

Esther Esther Esther
 
Mr. Clean? Sikutaka kuamini kuwa analipa watu wampambe mitandaoni, lakini hostoria inaonesha ni tabia yake. Alishawahi kuwalipa watu waandike kwenye mawe nchi nzima.
 
Huku kwetu wakandalasi wazawa wametuachia mashimo barabara ambayo wananchi kwa nguvu na pesa zao walikuwa wanaihudumia na kuwa safi.

Huyo mzawa kaharibu kaondoka zake. Zaidi katupigia hesabu ya huo uharibifu, ambao yeye anasema ndio ujenzi mamilioni ya fedha yaliyotumika.
Kuhuharibu kwa huyo mmoja isiwe ndio kigezo cha kuzuia wazawa kupewa kazi.
Kuna kampuni nyingi za kitanzania zinafanya vizuri kwenye ujenzi wa barabara.

Tunahitaji kukuza vipaji vya vijana wetu tunaowasomesha ili nao watoe ajira kwa wengine. Wachina tunaowaona walianza na kuthaminiwa kwao ndio wakakua kufikia viwango tunavyoviona.
 
Hatari sana, mkishindwa kuwalipa wanaenda kuwashitaki wapi? Wale wenzetu wanakwenda kwenye mahakama za nje wanashinda kesi wanakamata ndege wanalipwa maisha yanasonga.
 
Kuhuharibu kwa huyo mmoja isiwe ndio kigezo cha kuzuia wazawa kupewa kazi.
Kuna kampuni nyingi za kitanzania zinafanya vizuri kwenye ujenzi wa barabara.

Tunahitaji kukuza vipaji vya vijana wetu tunaowasomesha ili nao watoe ajira kwa wengine. Wachina tunaowaona walianza na kuthaminiwa kwao ndio wakakua kufikia viwango tunavyoviona.
Yes! Na sababu ya kueleza hivyo, serikali iangalie sio kila mzawa anasifa ya kupa kazi. Wengine ni waharibifu japokuwa ni wakandarasi.
 
Serikali imeweka kwenye Sheria kiwango cha thamani ya miradi iliyokuwa ikitekelezwa na wazawa kutoka shilingi bilioni 10 hadi shilingi bilioni 50 ili kuwawezesha wazawa kunufaika na kuwafanya wawe walipakodi wakubwa kwa maendeleo ya nchi.

Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), wakati wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Makandarasi na Washauri Elekezi wa Ndani ulioangazia nafasi yao katika utekelezaji wa miradi.

“Sheria ilikuwa inawapa local content Wakandarasi bora ambao ni wazawa lakini kwa sasa wazawa wanaruhusiwa kupata mradi wenye ukubwa wowote na kuruhusiwa kuajiri wakandarasi wengine kutoka nje kwa miradi wanayotekeleza" alisema Dkt. Nchemba .

Kuhusu malipo ya Wakandarasi, Dkt. Nchemba alisema kuwa kila mwaka Serikali inatenga fedha za kulipa madeni na miradi inayoendelea ambapo inatenga zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kuwalipa Wakandarasi, watoa huduma na wazabuni na hivyo kuwataka wanaoidai Serikali kuwa wavumilivu wakati jitihada za kuwalipa zikiendelea.

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi, Mhe. @innobash , amesema kuwa katika mwaka wa Fedha 2023/2024 kazi zote za matengenezo ya Barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kupitia Mfuko wa Barabara kwa mikoa 26 nchini zitatekelezwa na Wakandarasi wa ndani na hilo ni agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ametoa rai kwa wananchi kuwa wakiona kwenye mikoa kuna wakandarasi wa nje wanafanya kazi hizo kwa fedha za mfuko wa barabara watoe taarifa kwa kuwa watakuwa wamekwenda kinyume na maelekezo ya Serikali.

Naye Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw. Daniel Chongolo, alisema kuwa ni lazima kuaminiana na kuwawezesha wakandarasi wazawa kufanya mambo makubwa kwa kuweka mazingira ambayo yatawafanya makandarasi wazawa kuongeza viwango na kuweza kufanya kazi nje ya nchi kama wakandarasi wa nje wanavyokuja kufanya kazi nchini.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bi. Aisha Amour, alisema kuwa Tanzania inajumla ya Wakandarasi 15,665 ambapo wakandarasi wa ndani ni 15,091 ilihali wakandarasi wa nje ni 574 ambapo Kampuni za wakandarasi wanawake ni 1,215.

Aidha wadau wa mkutano huo wameeleza kuwa miradi iliyotekelezwa kuanzia mwaka 2013 hadi 2023 ni miradi 36,839 na kati ya miradi hiyo thamani yake ilikuwa shilingi trilioni 61 ikiwa ni miradi iliyosajiriwa na CRB, kati ya miradi hiyo, miradi 35,351 yenye jumla ya shilingi trilioni 23.75 ndiyo ilitekelezwa na makandarasi wa ndani, hatua iliyosababisha kuwa na mkutano huo ili kujadili namna wakandarasi wazawa wanavyoweza kutumia fursa zilizopo kuongeza kiwango cha ushiriki katika utekelezaji wa miradi mikubwa inayotekelezwa nchini.

Wakandarasi wa nje 574, biashara nzuri hii, halafu unataka Watanzania ambao hata pesa na incentives wa-compete? Kweli serikali na hata marais wake na mawaziri tutaquetion kama IQ zao zipo sawa. Hasa MaRais. Afadhali Nyerere alikuwa na MEECO, sijui nani aliua MECOna kwa manufaa gani.
 
Huku kwetu wakandalasi wazawa wametuachia mashimo barabara ambayo wananchi kwa nguvu na pesa zao walikuwa wanaihudumia na kuwa safi.

Huyo mzawa kaharibu kaondoka zake. Zaidi katupigia hesabu ya huo uharibifu, ambao yeye anasema ndio ujenzi mamilioni ya fedha yaliyotumika.
Ngoswe usilaumu huyo mkandarasi tu, ilaumu serikali, hao ndiyo wasimamisi wa hiyo kazi. Yaani Tanrod, kwa nini hawachukuliwi hatua? Kwa nini hawafungwi, na nyie wananchi kwa nini hamkwenda kuwashitaki? Sheria Mbovu
 
Back
Top Bottom