Mpoki atangaza vita na Shigongo & Joseph Shaluwa wa GPL

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Katika wimbo wake mpya alio mshirikisha Ben Paul. Mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo :


" WATU WA BONGO MOVIE, WALA MSILALAMIKE KUPOROMOKA KWA MAUZO YA KAZI ZENU, KWANI ANAYE WACHAFUA NI MSUKUMA WA BAMAGA NA NYIE MNAMJUA, NA NYIE HAO HAO NDIO MNAO MUENDEKEZA.

NA NDIO MAANA NILIWA AMBIA SISOMI MAGAZETI YA UDAKU MKANIONA CHIZI,
NA SASA HIVI UKINIAMBIA NIMTAJE MUANDISHI BORA WA KIKE, MI NTAMTAJA DADA SHALUWA "

Sikiliza wimbo huu hapa chini..

DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA: MPOKI FT BEN POL - UMIZA KICHWA - DUNIA KIGANJANI

TUSUBIRI SHIGONGO ATA RESPOND VIPI, BUT UZOEFU UNAONYESHA KUWA SHIGONGO HUWA HARSPOND BEEF ZA WASANII, MWAKA 2004 DUDUBAYA ALIMDISS VIBAYA SANA SHIGONGO KUPITIA CHANNEL TEN, 3 DAYS LATER DUDU ALIWEKWA NDANI KWA KOSA LA KUMPIGA MR. NICE, SHIGONGO HUYO HUYO AKAENDA KUMTOA, NA INASEMEKANA ALIKAA NAE KAMA MDOGO WAKE, WAKAYAMALIZA NA KUENDELEA NA MAISHA KAMA KAWAIDA.
 
wema alienda kuwatukana siku kadhaa akaenda kupokea tuzo pale Dar live achilia mbali kuhudhuria kigodoro cha yule mmbea wa jiji alieko global......
 
Ok ,atakuwa kachaguliwa juzi juzi tu kwani sina taarifa hizo,iweje sasa DC aimbe bongo fleva?

Go and tell your father that, I LIKUD say that tomorrow he will die, and on the day of his burrier, there will be the most heaviest rainfall!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom