uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,531
Hiki kilichomtokea ronaldo ni aibu ya karne
Mchezaji bora mara tano wa Dunia Ronaldo alikataliwa na kila timu huko Ulaya
Timu moja iliyomkubalia ni timu yake ya utotoni ila ikaweka mashariti kuwa hawatalipa mshahara acheze bure
Ulaya ndio kitovu cha mpira wa dunia na ulaya imemkataa mchezaji bora mara tano
Haijawahi kutokea mchezaji aliyeshinda uchezaji bora hata mara moja kukataliwa hivi
Kina Gaucho, Kaka, De Lima, Beckham, Zidane waliondoka ulaya huku kilab nyingi zikiwa zinahitaji huduma zao ila walikataa
Messi amelazimishwa kusaini mkataba mpya kule psg ameambiwa acheze hadi achoke
Bado barcelona inamwomba arudi, bayern wanamtaka,Man City wanamtaka
Ronaldo kaamua kwenda uswekeni
Ronaldo hajawahi kucheza jangwani
Je ataweza kucheza jangwani? Au tutarajie ugomvi mwingne akashtski kwa morgan