johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri:
Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima?
Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa Misamaha ya Kodi kwa Wawekezaji mahiri
Tatu amemtaka waziri wa fedha kuwashughulikia ipasavyo maafisa Ununuzi wa serikali
Nne, ameuliza Deni la Serikali kwa mwaka ni Trillion 8 au 15 kwa sababu kuna figure zinaleta ukakasi
Tano, Amemshauri Spika Tulia kuunda Tume za Bunge kuchunguza swala la kuchelewa Bwawa la Nyerere kukamilika
Kupanda kwa bei za mafuta kwa kisingizio cha Vita ya Ukraine
Kupanda kwa bei za Mbolea
Source Star tv bungeni
Kiukweli Mpina, Zitto Kabwe J J Mnyika na Tundu Lisu ni sawa na Bunge zima