Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

Chako chake chake chake, am sorry bro aisee its indeed hard time, bora uchumba ufe kuliko ndoa, that's kind of behaviour passing to ur offspring, be keen aisee..
Bora tabia yake imekuwa wazi mapema kabla muda haujasogea sana, hiyo sio tabia ndogo Mkuu... Decide wiselly, mwambie ukwel. inauma lakini lakini hakuna namna...thaman yako kwake ni pesa yako na mali yako...ukiwa empty set siku moja alafu ndo ashakuwa Mke wako, ndo utaona joto ya jiwe ya mwanamke mfanyabiashara anayejua thaman ya pesa kuliko mmewe....pole aisee.
 
Ninachojua maisha ni kusaidiana, ila wanawake tuna tabia moja ni wagumu sana kutoa hela kumpa mwanaume ambae unajua wazi si mume wako kuna hawa watu wa mitandao wanaojifanya kutoa ushauri wa mapenzi mitandaoni wametuharibu akili zetu mpaka basi amini nakuambia hata ukimuacha ukimpata mwingine ni yaleyale kikubwa kaa nae chini muelekeze taratibu mtaenda sawa kuachana sio solution kabisa.
Motherpepsi! Bro Tomahawk piga chini HUYO dungaembe wewe ni dhahabu achana na huu ushauri mi mlume mwenzio nisikilize

Sorry sister for interrupting
 
4yrs anashindwa hata kukusaidia unapokwama? Jua hiyo ni tabia yake na haitakuja kubadilika. Ukimuoa ujue kabisa huyo ndo aina ya mke utakaespend life with.

Dizaini za wanawake hawa hata chumvi ikiisha utasikia baba chumvi imeisha na ikitokea kanunua na hela yake basi utalipishwa tu.

Ila hongera kwa kuvumilia muda wote huo aisee na huduma juu!
 
Bella, hamna upendo hapo.Kweli mtu unayempenda na ambaye amekua akikusaidia akuombe hata elfu 30 baada ya kukujulisha kuwa mambo yake hayapo vizuri halafu usimsaidie?Kwa mtu anayekujali ikibidi atakopa, elfu 30 sio hela kubwa.

Sio wanawake wote wapo hivyo, wapo wanawake wanaojali.Kuna uwezekano mkubwa sana anamtumia jamaa, hana malengo naye.Na ukizingatia hawapo mkoa mmoja, huenda ana mtu mwingine.
Huu ni Ukweli Mchungu.

Kweli watu hawafanani kabisa. Nina mpenzi wangu tena ni dent tu wa chuo yaani anavyohangaika kuniridhisha na vizawadi vyake kwa kutegemea boom la chuo hadi namuonea huruma Daah!!

Mara Kaleta Boxer Mara T-shirt, Leo Saa Keshokutwa Raba...Daah

Kuna watu Tumebarikiwa Mno. Hadi Tukiambiwa Matatizo ya Wenzetu Hatuamini.
 
Habari wakuuuu, na changamoto kidogo na mpenzi wangu, nimekuwa nae kwa mahusiano Kama miaka minne ivi mpaka Sasa, time naanza nae mahusiano alinikuta Niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia Kama ambavyo mwanaume upaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, Hali ya kwamba uyo mpenzi wangu Ni muajiliwa serikalini Tena kazi nzuri tu na mshaara wake Ni zaidi ya Million. Katikati apa mipango yangu imeyumba kidogo, nikamuomba aniazime pesa kidogo ambayo nitaongezea kwenye Kodi ya nyumba ambayo hata yeye uwa anafikia akija Dar, kwakuwa kituo chake Cha kazi Ni nje ya Dar, akanijibu Hana pesa wakati najua kwenye account yake mpaka kiwango alicho nacho, Tena kwenye Kodi nilipungukiwa laki mbili tu kwa kwa maaana nilikuwa na million Moja na laki sita yeye aniongezeee laki mbili tu, akadai Hana pesa, dahhh nikaona isiwe tabu nikaongea na mwenye nyumba, Ana nieshimu namieshimu kanielewa Sana na kumbe wasi wasi wangu tu. Baaada ya kulipa iyo Kodi nikawa mweupe Sina hata senti, kwakuwa na miradi yangu mikubwa nje ya mkoa wa Dar nayo ikawa imekaaa vyema ivyo ikanibidi nauli tu niende uko Mkoani nikamuomba elfu 30 tu akanijibu Sina na kuniambia unadhani kila mda Mimi na pesa tu, wakati najua mshaara wake na najua kwenye account Ana kiwango gani??
Nikafanya yangu Mimi nikaenda Mkoani, kaja Dar kafikia kwenye nyumba ile ile aliyogoma kuniazima laki mbili ya Kodi, gari yangu anatumia na mafuta naweka Mimi, chakula changu anakula, starehee naampa, pesa ya matumizi naampa nikikwama yeye mgumu, nampenda ila rohoo ya kumuacha inanijia kwakuwa uyu naona Ni mbinafsi wa kiwango Cha lami....nimfanyeje uyu kiumbe Kama namchoka ivi.
Mbonaa unavutwa maskio km ngirii, huoni km yuko kwa ajili ya maslahi yake pole endelea hivyoo hivyoo kuwa saccos
 
Nilidhani ni mwanaume maana ni mzigo kwetu siye dunia tokea mwanzo wanawake lazima watunzwe na wanaume.
Sasa kaka yangu maisha ni kumtunza mwanamke tu ila mwanamke kukutunza wewe atakuzalia atakupenda atakujali .
Ila sio kwenye pesa .
Naisitoshe akusaidie kwani anajua unawangapi nyuma yake.
Mwoe mtu halafu ndio ujue kama atakujali au kabla hujamuacha mwambie mtu ukweli pengine ni free manson.
Au hizo hela zinakazi au zinakatwa kwa mkopo.
Mwite muulize mamake mbona hali hiii iko hivi.
Sema ukweli tupo kwenye mahusiano ya aina gani?
Kuwa mkweli bhana.
Halafundio utajua umuache au ufanyaje.
Maana kama hujamuoa ni mgumu kujitoa muhanga wanaume nyie mnakera kweli.
Nakumbuka shuleni huyo dada alijitoa muhanga kwa jamaa yake mwisho wa siku alipojiweza akaoa kitu kipya na nyumba walioisoyea kujenga akaishi mwingine.
Pole umekuja kwenye mahusiano wakati wadada wamechoka kuonewa so nibora uende kwa mshikaji ule na kunywa uamke na kulala uenjoy your days akupe kapesa kakutumia basi.
Maisha ya songe sio umpe what 😈😈😈😈😈 pole swahiba wenzio waliopita ndio wamekuharibia pozi asilimia 50.5% hawataki hizo mbichi tena.
Huna hela basiiiiiii.
Ila pole
 
1.Kakuloga
2.jiangalie juu mpaka chini kisa uje useme nimekosa nini natembea na kikaragosi .
3.ukishapata jibu.
4.Kaombewe kwamaana huyo ni pepo chafu kabisa lisilonahaya limekuzoea na nilizimwi likujualo.
Mapenzi my foot ilikuaa secondary mama upo kimjini unasaka tonge so usiwe na stress zozote kama unajiweza .
Tafuta mwanaume wa nguvu.
Akuongezee mlo sio ajibweteke.
Fukuza hilo lipaka shume ukaoge na maji ya chumvi osterbay.
I think kuna pahali hapako Sawa rudia kusoma upya
 
Huna future wife hapo, siku biashara ikate ndio utajuta maana hakuna rangi ambayo hutaiona wala namba ambayo hutaisoma. Tena utaisoma kuliko hata tunavyozisoma awamu hii.
 
Uwa namwambia Tena Juzi tu....nimeshusha bonge la lisara Sema anavunga vunga tuuuu...
hizi tabia Umeanza kuziona hivi karibuni au ndio siku zote yuko hivyo. Kama ni mpya endelea kuongea naye labda ana sababu zake. Ila kama ndivyo alivyo basi jua hatobadilika, change msingi wee amua kama utavumilia au la. Ukiona huwezi achana naye
 
Nashindwa kukushauri kwani sijaelewa vizuri kama wewe ni me au ke,anyway kama wewe ni ke ukijua siku anakuja kwa tafuta mijamaaa ile yenye vifua kama maka.lio halafu muache chumbani kwako akiwa amelala kitandani kifua wazi na kibukta kidogo au kyupi,kama weww ni me tafuta binti aliyepanda kama betina wa kwenye sani (yaani wale upande wa kanga hautoshi kuzunguka na akifunga haifiki magotini)muachie chumba alale hapo akiwa na kanga tuu...siku hiyo kalale gesti utakuwa umemaliza ubishi...haji tena
 
Habari wakuuuu, na changamoto kidogo na mpenzi wangu, nimekuwa nae kwa mahusiano Kama miaka minne ivi mpaka Sasa, time naanza nae mahusiano alinikuta Niko vizuri kiuchumi, kifupi nilikuwa namgharamia Kama ambavyo mwanaume upaswa kumjali mpenzi wake kwa kila kitu, Hali ya kwamba uyo mpenzi wangu Ni muajiliwa serikalini Tena kazi nzuri tu na mshaara wake Ni zaidi ya Million. Katikati apa mipango yangu imeyumba kidogo, nikamuomba aniazime pesa kidogo ambayo nitaongezea kwenye Kodi ya nyumba ambayo hata yeye uwa anafikia akija Dar, kwakuwa kituo chake Cha kazi Ni nje ya Dar, akanijibu Hana pesa wakati najua kwenye account yake mpaka kiwango alicho nacho, Tena kwenye Kodi nilipungukiwa laki mbili tu kwa kwa maaana nilikuwa na million Moja na laki sita yeye aniongezeee laki mbili tu, akadai Hana pesa, dahhh nikaona isiwe tabu nikaongea na mwenye nyumba, Ana nieshimu namieshimu kanielewa Sana na kumbe wasi wasi wangu tu. Baaada ya kulipa iyo Kodi nikawa mweupe Sina hata senti, kwakuwa na miradi yangu mikubwa nje ya mkoa wa Dar nayo ikawa imekaaa vyema ivyo ikanibidi nauli tu niende uko Mkoani nikamuomba elfu 30 tu akanijibu Sina na kuniambia unadhani kila mda Mimi na pesa tu, wakati najua mshaara wake na najua kwenye account Ana kiwango gani??
Nikafanya yangu Mimi nikaenda Mkoani, kaja Dar kafikia kwenye nyumba ile ile aliyogoma kuniazima laki mbili ya Kodi, gari yangu anatumia na mafuta naweka Mimi, chakula changu anakula, starehee naampa, pesa ya matumizi naampa nikikwama yeye mgumu, nampenda ila rohoo ya kumuacha inanijia kwakuwa uyu naona Ni mbinafsi wa kiwango Cha lami....nimfanyeje uyu kiumbe Kama namchoka ivi.

Kaka endelea kujipigia taratibu uku ukitafuta mtu sahihi wa kumuoa bila ya kumuonesha dalili zozote aje kusikia tu umeshaoa
 
Back
Top Bottom