Mpenzi wangu mlokole ananichanganya na tabia zake

Habari Jf nina mpenzi wangu mlokole tunatarajia kufunga ndoa huu mwaka lakini ana tabia zake ambazo zinanichanganya sana asee huko kanisani kwao, yaani anamheshimu sana mchungaji wake kuriko mimi mumewe mtarajiwa ananichanganya sana maana yule mchimgaji noana kama ananigongea mke wangu sasa nataka niforce aache mambo yake ya kuokoka ikibidi akizingu naachana nae maana yeye anaona mchungani bora kuriko mimi kitu kidogo mchungaji hadi anazingua yaani hawa walokole jau sana katika mapenzi unaweza gongewa sana na mchungaji ukiwa nao maana hana heshima kabisa namimi mumewe inauma sana.
Mbona wewe unamgonga mzee? Unakuwaje mumewe wakati mnataraji kufunga ndoa mwaka huu?
 
Subiri akianza kupandisha mashetani ambayo ni mchungaji tu ndo anaupako wa kuyatoa ndo utaelewa.
 
Back
Top Bottom