Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,712
- 9,791
Hawa viumbe wana shida ndugu zanguni. Muda huu tumetoka kuachana njia, yeye kaelekea kazini kwake na mimi naelekea mahali nikabadili hii suti yangu ili nivae vikali vyangu vya kutembezea nguo za ndani pale Sinza
Yaani tukiwa kwenye chombo cha usafiri wa umma, binti huyu alikuwa akitazama ngoma ya Diamond, Mr. Blue na Jay Melody ya Matikitiki kudondokeana. Ndipo akawa anatabasamu sana huku kayalegeza macho yake, udelele mlaini ukimtoka kumkinywa mpaka watu wanamshangaa. Mara ghafla nikasikia akirejelea "Na kibaridi hiki...", akamalizia kwa kusema "Nampenda sana Jay Melody kutoka moyoni mwangu, sipati picha nikipata bahati ya kuwa naye...". Neno lililomalizikia kutoka moyoni mwangu ni "...unampatia mbususu...". Moyo umeuma sana ndugu zanguni
Yaani hapa tulivyoachana kwa njia, ndivyo hivyo tumeachana kimapenzi. Haiwezekani ampende mtu asiyempatia hata 100 halafu mimi ninayepasuka sijawahi kusikia kutangaziwa kuwa napendwa kwa watu wengine
Inauma sana