Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

Mkuu uso wa nyoka, nahic mtoa uzi alikuwa anamind sana bikra sa mchumba akijichek hana na anampenda jamaa so akaona amdanganye tu..hahaha

Ndio hivyo, usikute mtoa uzi alikuwa anazungumzia sana jinsi alivyo na mipango ya kuoa bikra, mwanamke akijicheki, ilishatolewa kitambo, akimuangalia jamaa anamuona kama ---- fulani, akaona amchomekee tu potelea mbali!
 
Everything happens for a reason, whether nzuri ama mbaya Mshirikishe Mungu, wazazi pia kama uliwahusisha tangu mwanzo...katika mtihani wako unaopitia hapa jf utaumiza kichwa

Acha hizo bhaaana, whaaat??! ashirikishe wazaz kwa upuuzi wa kudanganywa bikra???:eek:
 
Ifike mahali wanaume tujue kuwa ubikra sio lazima iwe physical thing...I mean ubikra ni ile state ya kuwa mwanamke hajawahi kufanya ngono na mwanamme kwa sababu kisayansi kuna njia tofauti zinazoweza kusababisha bikra kwa maana ya kile kiwambo/layer itoke

Again mbona ni kitu cha kawaida wanaume kuambiwa hivyo? ila kwa tunaojua huwa tunaitikia "ndiyo" mdomoni huku moyoni tunasema "of course you are a virgin...just like my grandmother!"

Again ulitaka mkeo awe bikra, wewe ulikuwa bikra wakati unamuoa?

The best you can do ni kuangalia mwenendo wake BAADA ya ndoa na sio kable, otherwise unatafuta kujikosesha raha buuure
 
Habari zenu wakuu,

Nilikua na mpenzi ambaye tulidumu nae kwa muda wa miaka miwili. Katika kipindi cha mahusiano yetu sikuwahi kufanya nae mapenzi kwani aliniambia kuwa yeye ni bikira na kuwa nisubiri mpaka tuoane.

Kwa kuwa nilimpenda niliamua kusubiri. Cha kushangaza juzi tu baada ya ndoa tu tulipofanya mapenzi hali ilikua tofauti baada ya kukutana na nisichotegemea. Roho imeniuma sana kwani kumbe wakati mi namsubiri wengine walikua wanakula mzigo.

Pole......
 
Bikra mwachie Maria na Yusuf waliobaki ni usanii mtupu kuna kademu nakafukuzia mwaka sasa unapita nikijaribu kukaomba papuchi kanadai ni kabikira, ila matendo yake hayasignify bikra yake kwa sababu kanapenda sana kuomba pesa nipo nakavutia kasi kakijichanganya kakavua chupi na hyo bikra kanayoimba nisikute nakapiga chini

Una moyo braza, mwaka na bado unaendelea tu.
 
Acha wewe mtoa mada mim niliambiwa kama hvyo nina bikra wakat namtongoza huyo bnt ambae ni mwajirwa sekta flan amaizing kwel nikakubar na kpnd hcho nisha muwekea plot teyar ya kama 5.6milion na tofal kama elfu 2500 nikiwa naamin ni bikra na kwel nilipanga kumuoa baada ya kukutana nae nikakutamnili hamnakitu yaan papuchi haina mabonde mashne inapita bila shda nilipatwa hasira sana lkn baada ya kupata historia yake tangu utoton mpaka chuon mpaka anapata kaz hakuwah kuchakachuliwa lkn kwa sababu aliniuz nikambebesha mimba 2 mfululzo nikamwachia watoto wawil na nyumba moja majina ya wanangu il hawa nikuish nao kwa makin
 
Ifike mahali wanaume tujue kuwa ubikra sio lazima iwe physical thing...I mean ubikra ni ile state ya kuwa mwanamke hajawahi kufanya ngono na mwanamme kwa sababu kisayansi kuna njia tofauti zinazoweza kusababisha bikra kwa maana ya kile kiwambo/layer itoke

Again mbona ni kitu cha kawaida wanaume kuambiwa hivyo? ila kwa tunaojua huwa tunaitikia "ndiyo" mdomoni huku moyoni tunasema "of course you are a virgin...just like my grandmother!"

Again ulitaka mkeo awe bikra, wewe ulikuwa bikra wakati unamuoa?

The best you can do ni kuangalia mwenendo wake BAADA ya ndoa na sio kable, otherwise unatafuta kujikosesha raha buuure

Duuuuuuuu
 
pole, ili mahusiano yadumu ni lazima uongo utumike ,, ila mcheki upande wa pili huenda alimaanisha .
 
Back
Top Bottom