Mpenzi Jamii forums ulienda wapi jamani?

Eghorohe

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
220
78
Siku mbili mfululizo naperuzi kupata jamii forum bila mafanikio nikaugua! Nilidhani ndo hivo tena tumehujumiwa na ma mafia wasiopenda maendeleo ya nchi hii,karibu tena kiongozi! Hapa nikiamka asubuhi ndo natolea tongotongo machoni napata kuona!
 
Mi nilidhani mafisadi wameshatuhujumu!! Nilishaanza kufanya mkakati wa kuisaka AK47 ili nikawasambaratishe!! Yaani wangenikoma!!
 
Mie roho ilikuwa inaniuma kila nilipokuwa najaribu kufungua jf halafu inagoma, nilijisemea moyoni kuwa mapenzi yangu kwa jf ndio mwisho....kumbe ni ufundi tu.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Mie roho ilikuwa inaniuma kila nilipokuwa najaribu kufungua jf halafu inagoma, nilijisemea moyoni kuwa mapenzi yangu kwa jf ndio mwisho....kumbe ni ufundi tu.
 
Binafsi hata chakula kilikuwa kinagoma kushuka ...wakuu tunaomba muwe mnatualert jamani ili tusipatwe na BP.
 
Walitu-alert labda wewe ulikuwa hukuiona. Na tulielekezwa tuwatafute kwenye twitter kama sikosei, ila mie sikujaribu. Poleni sana wakuu!!!
 
Back
Top Bottom