Mpenz wangu anastyle za ajabu.

kumbe watoto wa facbk wamejaa humu eeehhh ila kijana usiwe kama huish mujin kwan hujui mambo ya kamasutra anapata somo lake huko
 
unajua sikiizi kuna semina za mapenz zinatolewa na radio times labda alienda kupata ma staili akaja kukupa usimuazie vibaya pta mamabo matamauu
 
Jaribu kuzidadavua hizo unaziita style za ajabu...si ajabu zikawa ni za kawaida sana halafu twajitaabisha kukushauri.
Mfano;
1. huwa anakunja mkuu wake na kuuegesha katika uchogo wake...
 
"katoto kajing" mmmmmh eeeeehh bhana eeeh haya.......................!:lol::lol::lol::focus::lol::lol:
 
Mimi nampongeza maana anaonekana kuwa mbunifu ha takaki kubaki nyuma.............. keep it up mdada!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nampongeza maana anaonekana kuwa mbunifu ha takaki kubaki nyuma.............. keep it up mdada!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama hukumkuta bikra usiogope alikuwa anakuvutia upepo tu ili akuoneshe yale aliokuwa anapewa na Ex wake na kama umemtoa bikra basi mchunguze anafundishwa na nani?.Hayo ndo mambo ya watoto wa Manzese,Sinza na Tanga msichana anatolewa bikra kwa style mbalimbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom