Mpaka Sasa Kila timu inaomba ipangiwe na Simba

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Uchambuzi wangu

Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...

..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu ya kupumzikia since Kuna poor goalkeeping na defense ni mbovu

NB: viongozi boresheni technical points....haiwezekani timu inashinda Baada ya makolo kuminya kende sana ( ushirikina)
1695372921562.jpg
 
Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.

Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
 
Sawa mpo kwenye kumi bora hebu zitizame timu zilizo kwenye kimi bora na ww na mechi ulizocheza hivi karibuni.Haya kaka mwezi huu unamechi na Al Ahly kwa mpira wahuu wa msimu huu,utatia aibu hapo kwa Mkapa.
 
Uchambuzi wangu

Baada ya mnyama kuingia makundi Kinyonge sana ( amini ushirikina upo coz hii mechi walikufa) ...

..Kwa taarifa nilizopata Kila timu inaomba ipangiwe na mnyama ....coz ni sehemu ya kupumzikia since Kuna poor goalkeeping na defense ni mbovu

NB: viongozi boresheni technical points....haiwezekani timu inashinda Baada ya makolo kuminya kende sana ( ushirikina)View attachment 2768770
Walitajwa wawili.Wewe jina lako ni nani kati ya :-
1-Jakaya Mrisho Kikwete,
2-Sunday Manara?
kama haupo hapo wewe ni nyani kama alivyowaita Lucie Emel.
 
Sawa mpo kwenye kumi bora hebu zitizame timu zilizo kwenye kimi bora na ww na mechi ulizocheza hivi karibuni.Haya kaka mwezi huu unamechi na Al Ahly kwa mpira wahuu wa msimu huu,utatia aibu hapo kwa Mkapa.
Hatua hii tunapita wote na hizo timu hii ni mara ya 6 mfululizo hata Esperance walisherekea siyo kama mara mbili mfululizo miaka hii basi mara 3,Je Yanga mara ya ngapi?
 
Kama mpaka leo Kuna shabiki wa Simba hajaridhika na timu yake inavyocheza atakua anajiumiza bure.

Simba tangu watoke uturuki wameshacheza mechi za kutosha kuonyesha namna timu yao ilivyo.

Kwasababu ki ufundi hakuna kitakacho ongezeka wanachotakiwa kufurahia ni matokeo tu.

Kutaka kuifananisha timu yao na Yanga ni makosa makubwa sana, ki ufundi ni timu zilizo tofautiana sana na hazina uwiano ata kidogo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.

Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Kichwa chako kimejaa kamasi .......mind u hata mazembe walikuwa Bora sana ......

Nothing last long
 
Kama mpaka leo Kuna shabiki wa Simba hajaridhika na timu yake inavyocheza atakua anajiumiza bure.

Simba tangu watoke uturuki wameshacheza mechi za kutosha kuonyesha namna timu yao ilivyo.

Kwasababu ki ufundi hakuna kitakacho ongezeka wanachotakiwa kufurahia ni matokeo tu.

Kutaka kuifananisha timu yao na Yanga ni makosa makubwa sana, ki ufundi ni timu zilizo tofautiana sana na hazina uwiano ata kidogo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Fact
 
Club ambayo ipo kwenye kumi bora Africa timu zingene zinaomba kupangiwa nayo? Kweli Yanga wenye akili ni wawili tu..
Simba inajitafuta labda inaweza kuwa kweli lakini ni hatua gani ya kimataifa hadi sasa hawajafika maana leo ndo imepita.

Kweli kama akili za wana jangwani ni hivi tuanze kufanya kampeni sanamu ya Sunday Manara na Kikwetu iwekwe jangawani na iandikwe kwa maandishi makubwa ya njano kwa wenye akili Yanga Tanzania nzima ndo hawa.
Mkuu Dabil, hata kama sio kweli lakini kiwango cha simba kinasikitisha sana! Managament wachukue hatua mapema. Huko mbele naona mtajutia kuendelea kuwa na huyo Robertinyo
 
𝗧𝗜𝗠𝗨 𝗭𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗟𝗘𝗔𝗡𝗦𝗛𝗘𝗘𝗧𝗦

Timu zilizoondoka na Clean sheets kwenye hatua Ya Kwanza ya kutinga Makundi Caf Champions League

▪️Al Ahly 🇪🇬
▪️Yanga Sc 🇹🇿
▪️TP Mazembe 🇨🇩
▪️ES Tunis 🇹🇳
▪️Mamelodi Sundowns 🇿🇦
▪️Wydad 🇲🇦

😆😆😆😆😆😆
 
Mkuu Dabil, hata kama sio kweli lakini kiwango cha simba kinasikitisha sana! Managament wachukue hatua mapema. Huko mbele naona mtajutia kuendelea kuwa na huyo Robertinyo
Mkuu wachezaji tunao wazuri.
1.Kibu
2.Manula/Salum
3.Inonga
4.Miquison
5.Chama
6.Saido
7.Kapombe
8.Shabalala
9.Ngoma
10.Mzamiru
11.Baleke
12.Onana
13.Ukuta wa Yeriko

Kweli unashinda kupata first 11? Wachezaji wazuri halafu mpira ndo ule?hatuna kocha aisee
 
Back
Top Bottom